Aliyekuwa mwanachama wa CHADEMA Nusrat Hanje avaa sare ya CCM

Aliyekuwa mwanachama wa CHADEMA Nusrat Hanje avaa sare ya CCM

Hili suala la aibu kwa mhiimili wa mahakama ……., watu ambao ushahidi wa wadi unaonyesha kuwa hawapo tena kwenye Chama wanachodaiwa kuwakilisha…ingekua vyema mahakama ingeruhusu tu Chadema wapeleke wabunge wengine hasa kwa hawa ambao kuna ushahidi wa wazi kuwa wanatumikia ccm…
Masahihisho : Chadema haina Mpango wa kupeleka Wabunge wa viti maalum bungeni , sababu zinajulikana , Na wala hatuzuii hawa Wasaliti kuwa Wabunge bali wasitumie jina la Chadema maana walishatimuliwa
 
Duuh hata siamini nachoona. Hivi ni huyu "Nusrat binti chadema" aliyekua chadema lia lia kipindi anazunguka na kamanda mawazo kanda ya ziwa kujenga chama?

Aisee kweli "politics" is a game of opportunities.
Aibu ya milele itamuandama hadi kaburini
 
Hivi ndivyo alivyofumwa mmojawao, jionee mwenyewe.

View attachment 2783997
Hawa wakiongozwa na Msaliti mkuu Halima Mdee wamefungua kesi Mahakamani kupinga kutimuliwa CHADEMA.

Kesi inaendeshwa kwa spidi ya konokono ili wamalize ubunge wao haramu.

Bali Kanuni ya Mungu ni ile ile, kila Ubaya Utalipwa.
Lakini nchi hii kwa hila hizi na dhambi hiklzi, kamwe ni rais Hamas kuendelea kuliko Tanzania
 
Kapendeza Maa shaa Allah, kijani na njano havimkatai mtu[emoji169][emoji172],

Nawe pia wakaribishwa kwenye kijani na njano,

Hata hivyo amevaa tu shati la kijani kuna bendera ya taifa na jina lake, sijaona nembo ya CCM.
Kwani unafikiria kupitia TUI LA NAZI?
 
Juzi tu alipokuwa chadema alikuwa msichana mrembo sana. Kaingia ccm kaxeeka hatari. Uso umemshika utadhani bibi Samia.
 

Attachments

  • Screenshot_2023-10-16-21-32-06-1_1.jpg
    Screenshot_2023-10-16-21-32-06-1_1.jpg
    23.8 KB · Views: 1
Duuh hata siamini nachoona. Hivi ni huyu "Nusrat binti chadema" aliyekua chadema lia lia kipindi anazunguka na kamanda mawazo kanda ya ziwa kujenga chama?

Aisee kweli "politics" is a game of opportunities.
"Politics a game of opportunities"?

If that's what politics is about, then we have developed our own version, not the conventional politics as is known elsewhere!
Politics with no conviction, believing in nothing except self gain; that's our politics.

This is why we're in big trouble as a nation; and until this mentality is suppressed, we will continue being in big trouble.
 
Mkuu ujinga huu upo TZ tuu, kwingine ambako watu wako seriously hawawezi kuishi na watu ndumila kuwili.
Unajua kwa nini Mungiki kule Kenya ilikuwa ni tishio? Unaleta siasa za kipumbavu kwenye maslahi ya umma kwa kuwafanya wengine wajinga basi wao wanaamua kukutenda!
Au ili wakuumize usiwachezee tena wanagusa familia yako, mke au mume au mtoto ili ujue uchungu wanaosikia wengine.
Hapa hajapigwa pipe mtu akaelewa kuwa siasa sio uhuni, huwezi kujifanya unatetea kundi fulani nalo likakupa nafasi kumbe wewe ndio unalisaliti! Ukitendwa huwezi rudia ujinga huo wala mwingine hawezi iga.
Ukweli mchungu huu hili la usaliti liko Tanzania na Hakuna sample hata Moja aliwahi fanyiwa hili hat hvyo kesi za namna hi Kuna wengi watakomolewa na serekali
 
2025 itakua kivumbi na jasho.Kila mtu atajipigania.Polisi watafikiria kwa kila watendalo.Hakuna kupita bila kupingwa.
Nawashanga aga Sana mnavyosema uchuguz ujao utakuwa tishio mm binafs nimeshiriikishwa uchaguz kuazia mwaka 2005 Hadi had hi ya 2015 ndio nikasema sipigi Tena kura kwa ninayo yaona


Ccm wanachezea uchaguzi kila kipindi na hukuna kipiya
 
Hivi ndivyo alivyofumwa mmojawao, jionee mwenyewe.

View attachment 2783997
Hawa wakiongozwa na Msaliti mkuu Halima Mdee wamefungua kesi Mahakamani kupinga kutimuliwa CHADEMA.

Kesi inaendeshwa kwa spidi ya konokono ili wamalize ubunge wao haramu.

Bali Kanuni ya Mungu ni ile ile, kila Ubaya Utalipwa.
I always speak aloud, hakuna mkombozi wa kukupigania, jitambue jipiganie mwenyewe, hawa wanasiasa wako kwa matumbo yao, na sio kwa ajili yako mtanzania, jipiganie ili uishi vizuri wewe na familia yako, mlango wa kupigania utauchagua mwenyewe aidha uwe nabii uzichote za wajinga, aidha uwe mwanasiasa uchwara uwadanganye wajinga uupate ubunge, na njia zingine 1001,zote hizi ni ili uishi vizuri kwa MGONGO wa wajinga watakaokufuatilia na kukuamini,
USE YOUR BRAIN WISELY!
 
Wap imeandikwa cccm nusrat ni fighter sana nampa hongera mim bawaccha mwenzake
 
Back
Top Bottom