Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wazungu wanafanya Mazoezo na siyo wezi wa Mali za Wananchi wao,Leo hii Obama anaweza ukamuona ana fanya mazoezi ya kukimbia Barabarani bla kuwa na msululu wa watu na Magari yupo free anaishi kwa Amani bila hofu, Viongozi wetu wanaishi kwa hofu uwezi kumkuta kiongozi mkubwa mstaafu akatembea kwa miguu Asubuhi ila Wenzetu Wazungu wanafanya mazoezi kwa staili hiyo.Frederick Mwita Werema (born 10 October 1955) = 69 Years old🫢
Former US President Jimmy Carter has died aged 100, the centre he founded has confirmed.