Dah, Mungu aipumzishe roho yake pema peponi na aipe faraja nyingi sana familia yake.
Kufariki wakati wa kipindi cha sherehe za mwaka mpya kunaiacha familia na kovu kubwa sana kwani siku za mbeleni hawataweza kusherehekea mwaka mpya tena bila kumkumbuka jaji.