Pre GE2025 Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM

Pre GE2025 Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wala haina mashiko... Ni kituko na Aibu..
Njaa ..madeni..
Kujiaibisha buree...
 
SIKU NASEMA USIMUWEKE MWANASIASA MDHAMANA

ova
 
Kama akipokelewa vizuri na kupewa nafsi nzuri basi itakuwa vizuri sana kwa afya ya demokrasia ya Tanzania kwa sababu CCM itakuwa inachimbia kaburi lake lenyewe. Kadiri wapinzani wanavyotimkia CCM ndiyo ushindani unavyozidi kuongezeka ndani yake, and guess what? Kitaparanyika!
exactly, kuna akina mwashamba wanatafuta vyeo, leo unampa uwaziri Msigwa, lazima upinzani ndani ya ccm uwe mkubwa
 
Ana nyumba wapi na wapi
 

Attachments

  • FB_IMG_1719768315141.jpg
    FB_IMG_1719768315141.jpg
    31.2 KB · Views: 2
Mbowe hataki kukosolewa hatabakia peke yake, Lema kasema wazi kaumia sana Msingwa kuondoka Lema anaogopa kumkosoa Mbowe.
 
magufuri alimtaka sana ahamie na ampe uwaziri alijifanya mjanja akagoma, leo anashawishiwa na mwanamke anakubali...naamini msigwa anachembe chembe za uzinzi......haiwezekani umuogope mwanaume mwenzake
Bila shaka uwaziri wake alioahidiwa, uko palepale, maana sasa hivi atapita ubunge wa kishindo kwa tiketi ya CCM, na kisha analamba uwaziri 😀 😀 😀 Kaupiga mwingi!!
 
Back
Top Bottom