Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi niilisikitika alipoondoka nota kama anlionewa lakini anavyozidi kuwaandama wenzie naanza kumwona hana maanaNiende Moja Kwa Moja Kwa peter msigwa,najua kuhama chama, ni hiari ya mtu,hamna mtu anayeweza kukulazimisha kuhama chama,Sasa nimefuatilia xna hutuba za peter msigwa imekuwa kero, Kwan yeye hotuba zake zimekuwa za kutukana chama,kumtukana mbowe,si jambo jema,Kwa nn usjifunze Kwa wenzako wengi waliohama? Kumbuka kwamba hakuna mkamilifu,hata uko ulipoenda c wakamilifu,kwanza si jambo jema kutoa Siri za chama,yaan ni sawa ww umeachana na mke wako uanze kutoa Siri zake,si jambo jema,hao watu unao wahutubia wanajitambua sio kwamba hawajua mbivu na mbichi, Kwa nn usitoke USHAURI Kwa chama chako ulipo Sasa?kama ni cheo utapewa subir,kunamambo mengi ya kuzungumza kwenye chama chako, chama kimekulea na umejulikana hapo kutokana na chadema bila chadema usingefka Tena ulisema ukihama tuchome nyumban moto,😁😁,sema watanzania wamekusamehe,USITUKANE MAMBA KABLA HUJAVUKA MTO,KUMBUKA HAKUNA MAREFU YASIYO NA NCHA
Sasa si ndiyo mfurah chadema inaenda kufaMsigwa kupelekwa mahakamani ni "kuivua chupi chadema" hadharani na anguko la mwenyekiti, stay tunes!
Halafu anasahau tupo zama za 4R; si zama zile za kanyaboya!Niende Moja Kwa Moja Kwa peter msigwa,najua kuhama chama, ni hiari ya mtu,hamna mtu anayeweza kukulazimisha kuhama chama,Sasa nimefuatilia xna hutuba za peter msigwa imekuwa kero, Kwan yeye hotuba zake zimekuwa za kutukana chama,kumtukana mbowe,si jambo jema,Kwa nn usjifunze Kwa wenzako wengi waliohama? Kumbuka kwamba hakuna mkamilifu,hata uko ulipoenda c wakamilifu,kwanza si jambo jema kutoa Siri za chama,yaan ni sawa ww umeachana na mke wako uanze kutoa Siri zake,si jambo jema,hao watu unao wahutubia wanajitambua sio kwamba hawajua mbivu na mbichi, Kwa nn usitoke USHAURI Kwa chama chako ulipo Sasa?kama ni cheo utapewa subir,kunamambo mengi ya kuzungumza kwenye chama chako, chama kimekulea na umejulikana hapo kutokana na chadema bila chadema usingefka Tena ulisema ukihama tuchome nyumban moto,😁😁,sema watanzania wamekusamehe,USITUKANE MAMBA KABLA HUJAVUKA MTO,KUMBUKA HAKUNA MAREFU YASIYO NA NCHA
si kweli kwamba anachohubiri Msigwa kuhusu chama alichojiengua ni kutukana, kua mstaarabu kidogo kwenye hilo...Niende Moja Kwa Moja Kwa peter msigwa,najua kuhama chama, ni hiari ya mtu,hamna mtu anayeweza kukulazimisha kuhama chama,Sasa nimefuatilia xna hutuba za peter msigwa imekuwa kero, Kwan yeye hotuba zake zimekuwa za kutukana chama,kumtukana mbowe,si jambo jema,Kwa nn usjifunze Kwa wenzako wengi waliohama? Kumbuka kwamba hakuna mkamilifu,hata uko ulipoenda c wakamilifu,kwanza si jambo jema kutoa Siri za chama,yaan ni sawa ww umeachana na mke wako uanze kutoa Siri zake,si jambo jema,hao watu unao wahutubia wanajitambua sio kwamba hawajua mbivu na mbichi, Kwa nn usitoke USHAURI Kwa chama chako ulipo Sasa?kama ni cheo utapewa subir,kunamambo mengi ya kuzungumza kwenye chama chako, chama kimekulea na umejulikana hapo kutokana na chadema bila chadema usingefka Tena ulisema ukihama tuchome nyumban moto,😁😁,sema watanzania wamekusamehe,USITUKANE MAMBA KABLA HUJAVUKA MTO,KUMBUKA HAKUNA MAREFU YASIYO NA NCHA
Unaandika hapa kujifirahisha tu na ama kuambulia vijisenti vile vya bando kutoka Lumumba fc!si kweli kwamba anachohubiri Msigwa kuhusu chama alichojiengua ni kutukana, kua mstaarabu kidogo kwenye hilo...
anachokisema Msigwa ni ukweli mtupu juu ya madudu, masaibu na maisha halisi ya ndani ya chama husika kwasabub amekua huko kwa zaidi ya miaka 20. anajua A to Z ya chama hicho...
na actually,
amewasaidia sana waoga na walio vumilia hali hiyo kwa muda mrefu walau sasa wana pumua...
And for your information,
Mbowe anajikaanga kwa mafuta yake mwenyewe, Msigwa atasaidiwa kumuabisha mbowe mahakamani na waandamizi ndani ya chadema 🐒
mbona uko zig zaga gentleman?Unaandika hapa kujifirahisha tu na ama kuambulia vijisenti vile vya bando kutoka Lumumba fc!
Huyo msigwa na wewe lmao ushahidi wa tuhuma zenu? Au unapush agenda zenu za kumwondoa mwenyekiti wa cdm kwani amekuwa mwiba kwenu!
Huna ushahidi hata chembe, acha kujifanya unaijua Sana cdm.
