Pre GE2025 Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM

Pre GE2025 Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Subiri kidogo utaona atakavyoanza pinga kila alichokuwa anakisema kwa miaka yote aliyokaa chadema
 
Wananchi mnasemaje usaliti huu wa Msigwa ni afadhali ya covid 19 kuliko Msigwa ni wa kupigwa mawe. bora angeenda ACT angeeleweka kwa kuhamia CCM moja kwa moja ni Rushwa.
 
Kama ni kweli, basi ndio mwisho wangu wa kumuamini mwana siasa wa upinzani bongo.
Umechelewa Sana aisee .... Tena huyu, hech'e na le,ma ..wamekuwa vibaraka wa mbowe wa muda mrefu, Wameua democrasia CDM..wame jimilikisha chama wamekuwa watu wa mabavu. Na ubabe, Hawaambiliki. hakuna haki kabisa....
 
Bora Msigwa ameondoka maana alikuwa anaipasua Chadema vipande vipande alipoona kuwa ameshindwa kuwatenganisha Mwenyekiti Mbowe na Makamu Mwenyekiti Lissu akaona hali ni ngumu bora aondoke mazima. Aheri kaondoka ni mtu alikuwa hatari kwa chama,huko alikoenda ni saizi yake. Wacha akampigie debe mama apate mkate wake
 
CHADEMA wakivuna kutoka CCM hujigamba na kusema kuwa ni Asset, je, CCM nao baada ya jana Kuvuna kutoka CHADEMA Kwao ni Asset au Liability Kisiasa?

Haya wana CCM wengi mliopo hapa JamiiForums GENTAMYCINE nisiyejua Siasa nasubiria Mirejesho yenu kwa hili Oky?
 
Bila shaka uwaziri wake alioahidiwa, uko palepale, maana sasa hivi atapita ubunge wa kishindo kwa tiketi ya CCM, na kisha analamba uwaziri 😀 😀 😀 Kaupiga mwingi!!
mzinzi yule, akibaniwa sauti tu anajisogeza.
 
Hili nilishawahi kusema sana humu. Kuna kasumba ya Makamanda wenzangu kugeuza siasa kama biashara au ajira kuliko kuwatumikia wanabchi.

Sasa wengi wapo kwa ajili ya kudaka ubunge au uongozi ndani ya chama. Wakikosa tu wanahama. Na mwaka 2025 wengi tu watahama baada ya kukosa ubunge.

Chama chetu kinatakiwa kuwa na makamanda wafia chama kama mimi.
Wewe huko CCM ulihama lini.
 
Msigwa alivuka na Chadema nyakati ngumu Sana usisahau hilo...

Mbowe ajitafakari...

Tindo
Mkuu nadhani kuna walakini ndani ya uongozi wa Chadema siyo bure.
Mchungaji Msigwa kakitumikia chama zaidi ya miaka 20 katika nafasi mbali mbali,siyo sahihi kumbeza.Kapitia nyakati ngumu sana,kama angekisaliti chama ingekuwa wakati wa Mjomba Magu,lakini hakufanya hivyo alipopewa offer.
Kiona mbali walionya kitendo cha kuwashindanisha Sugu na Mchungaji Msigwa kugombea Wenyekiti wa kanda ya Nyasa haukuwa wa afya kichama,matokeo ndio haya.
Chadema amka, kumpoteza Kigogo Msigwa sio jambo dogo,ni
sawa sawa kama ANC ya South Africa ilivyompoteza Zuma,sasa Ramaphosa anahaha kuunda serikali tena ya mseto.
 
Msigwa anaendelea kuthibitisha observation yangu kuwa Chadema wengi hawana Emotional Intelligence.
 
Niende Moja Kwa Moja Kwa peter msigwa,najua kuhama chama, ni hiari ya mtu,hamna mtu anayeweza kukulazimisha kuhama chama.

Sasa nimefuatilia sana hutuba za peter msigwa imekuwa kero, Kwan yeye hotuba zake zimekuwa za kutukana chama, kumtukana Mbowe, si jambo jema,Kwa nn usjifunze kwa wenzako wengi waliohama? Kumbuka kwamba hakuna mkamilifu, hata uko ulipoenda c wakamilifu,kwanza si jambo jema kutoa Siri za chama, yaanini sawa ww umeachana na mke wako uanze kutoa Siri zake,si jambo jema,hao watu unao wahutubia wanajitambua sio kwamba hawajua mbivu na mbichi, Kwa nn usitoke USHAURI Kwa chama chako ulipo Sasa?

Kama ni cheo utapewa subir,kunamambo mengi ya kuzungumza kwenye chama chako, chama kimekulea na umejulikana hapo kutokana na chadema bila chadema usingefka Tena ulisema ukihama tuchome nyumban moto,😁😁, sema watanzania wamekusamehe,USITUKANE MAMBA KABLA HUJAVUKA MTO,KUMBUKA HAKUNA MAREFU YASIYO NA NCHA
 
Niende Moja Kwa Moja Kwa peter msigwa,najua kuhama chama, ni hiari ya mtu,hamna mtu anayeweza kukulazimisha kuhama chama,Sasa nimefuatilia xna hutuba za peter msigwa imekuwa kero, Kwan yeye hotuba zake zimekuwa za kutukana chama,kumtukana mbowe,si jambo jema,Kwa nn usjifunze Kwa wenzako wengi waliohama? Kumbuka kwamba hakuna mkamilifu,hata uko ulipoenda c wakamilifu,kwanza si jambo jema kutoa Siri za chama,yaan ni sawa ww umeachana na mke wako uanze kutoa Siri zake,si jambo jema,hao watu unao wahutubia wanajitambua sio kwamba hawajua mbivu na mbichi, Kwa nn usitoke USHAURI Kwa chama chako ulipo Sasa?kama ni cheo utapewa subir,kunamambo mengi ya kuzungumza kwenye chama chako, chama kimekulea na umejulikana hapo kutokana na chadema bila chadema usingefka Tena ulisema ukihama tuchome nyumban moto,😁😁,sema watanzania wamekusamehe,USITUKANE MAMBA KABLA HUJAVUKA MTO,KUMBUKA HAKUNA MAREFU YASIYO NA NCHA
Unampigia mbuzi gitaa
 
Back
Top Bottom