wewe si unaona mbowe, wananchi wanapigwa virungu wengine hadi wanatekwa, lakini yeye hayupo serious, wakisema analamba asali atakataa, na wenzake wa ndani wanasema analamba asali. imagine, TUNDU LISU angekuwa ndiye mwenyekiti cha chama, upinzani ungekuwaje? mtu aliyesacrifice maisha kapigwa risasi kibao, pale alipo kajitoa haogopi chochote, ana akili nyingi kichwani, mwanasheria, ana exposure, very competent hata kuwa rais, halafu dj tu hapa aliyechukua chama kwa babamkwe anakipigilia misumari? kwa maslahi mapana kwanini mbowe haachii kiti ampe tundu lisu? au kwasababu ccm wanaogopa sana tundu lisu basi wamemwambia mbowe icho kitu asije kukiruhusu ili waendelee kushirikiana naye?
ukitaka kujua kuwa msigwa alikuwa wa maana kwenye chama, angalia jinsi Lema alivyoandika, hajaandika kumkejeli, ameandika kwa uchungu, anajua kilichoendelea.