Pre GE2025 Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kada wa CCM mchungaji Msigwa amesema yeye kuhamia CCM ni kutokana na Uzalendo wake Kwa Nchi na Taifa letu pendwa

Msigwa kasema Taifa letu ni zaidi ya vyama vya siasa na Watanzania wote wanapaswa kuelewa hilo

Credit: Wasafi FM

Mchungaji Mwema huwaambia Kondoo kila Kitu kibaya kijapo 😀😀🔥
Nadhani Msingwa anachanganya 'dhana'. Kwani ukiwa mwanachama wa chama Cha upinzani unakuwa si mzalendo kwa taifa lako? Yaani kwamba muda wote alipokuwa Chadema hakuwa mzalendo, isipokuwa kuanzia Jana ndipo amekuwa mzalendo?
 
Uzalendo ni kujitoa Kwa ajili ya Taifa lako

Chadema wanajitoa Kwa ajili ya Mbowe

Nadhani umeelewa 😂😂🔥
 
mimi nimewaambia hata TUNDU LISU anakosa tu chama cha kwenda, na ccm wakiwa vizuri hata huyo anaondoka, watu wamechoka ila bado wanamwabudu mbowe. yeye analamba asali tu.
 
ajabu ni kwamba, watu wanahesabu mabaya tu ya huyu msigwa, mazuri hawayajui. kwa ubabe wa mbowe mimi namuunga mkono.
Tamaa ya madaraka ni kitu kibaya sana kuliko vyote heri mwizi kuliko mtu mwenye tamaa.Mwenye tamaa hujiona kuwa yeye ni bora kuliko wengine.Kwani angeenda vyama vingine nani angemlaumu?Nchi inatafunwa na watu wenye kariba ya Msigwa,Kitila Mkumbo,Katambi na yule jamaa mwenye sura ya tumbili aka Kafulira.
 
mimi nimewaambia hata TUNDU LISU anakosa tu chama cha kwenda, na ccm wakiwa vizuri hata huyo anaondoka, watu wamechoka ila bado wanamwabudu mbowe. yeye analamba asali tu.
Mnyika baada ya family kuongezeka amekuwa karibu sana na Komredi Nchimbi

Yajayo yanafurahisha 😀😀🔥
 
Tamaa ya madaraka ni kitu kibaya sana kuliko vyote heri mwizi kuliko mtu mwenye tamaa.Mwenye tamaa hujiona kuwa yeye ni bora kuliko wengine.Kwani angeenda vyama vingine nani angemlaumu?Nchi inatafunwa na watu wenye kariba ya Msigwa,Kitila Mkumbo,Katambi na yule jamaa mwenye sura ya tumbili aka Kafulira.
hoja ni hii, mbowe ana tamaa ya madaraka, kang'ang'ania kiti, wakati huohuo anawaita wenzie wana tamaa ya madaraka, watu waliosacrifice sana kwa ajili ya chama na kwasababu wanampinga anaona bora awaengue, kampeni alisopiga kutumia mrema kwenye nyasa, hata ungekuwa wewe unafikiri nani utamwita ana tamaa ya madaraka kati ya msigwa na mbowe? ninachoona mimi, msigwa sio kwamba ana tamaa ya madaraka, ila aliona hasikilizwi, amesalitiwa, na ameamua kumwaga mboga tu, na kama mbowe angeihandle hii issue vizuri baada ya uchaguzi ule wala asingehama.

namshauri tundu lisu aanzishe chama kipya, atakuwa na wafuasi wengi sana, na ccm hicho ndio wanakiogopa kuliko chochote na hawatampa nafasi kuanzisha icho chama. imagine hadi anachangiwa na wananchi pesa kununua gari wakati kuna ruzuku kibao za covid 19 mbowe anatafuna.
 
Asante nimekuelewa.
 
Uzalendo ni kujitoa Kwa ajili ya Taifa lako

Chadema wanajitoa Kwa ajili ya Mbowe

Nadhani umeelewa 😂😂🔥
Nina maswali mawili: 1) Unapima kwa kutumia kipimo gani kwamba Chadema wanajitoa kwa Mbowe na CCM kwa taifa? 2) Kama hivyo ndivyo, matatizo yanayolalamikiwa na Watz kasababisha nani, Chadema/Mbowe?
 
Na huo ndio ukweli, kwa hiyo wanapambana katika kupata mkate wao wa kila siku na familia zao.
wewe si unaona mbowe, wananchi wanapigwa virungu wengine hadi wanatekwa, lakini yeye hayupo serious, wakisema analamba asali atakataa, na wenzake wa ndani wanasema analamba asali. imagine, TUNDU LISU angekuwa ndiye mwenyekiti cha chama, upinzani ungekuwaje? mtu aliyesacrifice maisha kapigwa risasi kibao, pale alipo kajitoa haogopi chochote, ana akili nyingi kichwani, mwanasheria, ana exposure, very competent hata kuwa rais, halafu dj tu hapa aliyechukua chama kwa babamkwe anakipigilia misumari? kwa maslahi mapana kwanini mbowe haachii kiti ampe tundu lisu? au kwasababu ccm wanaogopa sana tundu lisu basi wamemwambia mbowe icho kitu asije kukiruhusu ili waendelee kushirikiana naye?

ukitaka kujua kuwa msigwa alikuwa wa maana kwenye chama, angalia jinsi Lema alivyoandika, hajaandika kumkejeli, ameandika kwa uchungu, anajua kilichoendelea.
 
Kuwa upinzani lazima utumie nguvu kubwa ili uweze kuishi, ila huku kwingine kuna unafuu.
 
Back
Top Bottom