Mtukutu wa Nyaigela
JF-Expert Member
- Sep 4, 2018
- 8,013
- 14,263
chanzo cha muondoko wake ni kushindwa kiti cha uenyekiti wa kanda, alitaka aendelee ,wakati huohuo anamshutum mzee wa nyagi kukaa madarakani muda mrefuShalom,
Ya Mungu mengi ila ya binadamu nayo si haba ndivyo unaweza sema kama nakshi ya kituko cha mchungaji Msigwa kuhamia CCM.
Akihojiwa huku akiwa na kihotuba chake, na papo hapo anaweweseka hawezi kusoma na kutamka vizuri maneno aliyoyandaa mwenyewe ni ishara ya mkurupuko na mfadhaiko wa kitoto na kishamba.
Mch. Msigwa lugha yake ya mwili na matamshi ni ishara ya mkurupuko and a failed calculation.
Mch.Msigwa ni muhanga wa Empty and full Syndrome.
Pole sana ndugu Peter Msigwa kuchagua pia ni matokeo.
Mavi hata yakikauka hayabadiliki jina yanabakia mavi tu.
Vibwengo wana akili fupi wakienda mbele ndio huwa na mbio kali za kurudi nyuma.
Jagoo la Mchungaji Petro lawika Mithili ya kibwengo alikosa kivuli.
Ni hayo tu
Wadiz nipo. Kanyabayonga
mbona na yeye anataka akae muda mrefu