Pre GE2025 Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wala haina mashiko... Ni kituko na Aibu..
Njaa ..madeni..
Kujiaibisha buree...
 
SIKU NASEMA USIMUWEKE MWANASIASA MDHAMANA

ova
 
exactly, kuna akina mwashamba wanatafuta vyeo, leo unampa uwaziri Msigwa, lazima upinzani ndani ya ccm uwe mkubwa
 
Mbowe hataki kukosolewa hatabakia peke yake, Lema kasema wazi kaumia sana Msingwa kuondoka Lema anaogopa kumkosoa Mbowe.
 
magufuri alimtaka sana ahamie na ampe uwaziri alijifanya mjanja akagoma, leo anashawishiwa na mwanamke anakubali...naamini msigwa anachembe chembe za uzinzi......haiwezekani umuogope mwanaume mwenzake
Bila shaka uwaziri wake alioahidiwa, uko palepale, maana sasa hivi atapita ubunge wa kishindo kwa tiketi ya CCM, na kisha analamba uwaziri πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ Kaupiga mwingi!!
 
πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ‘€πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…