Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Ubweche umekata. Mrema kabugia woteKulikoni G55? Huko si ndio wamekubaliana waende kwenye ubweche?
Ndio walichoambuliaHahaaa mbona ACT wamechukua mtu mweupe kichwani
Hatoweza, mwili uko ACT moyo na akili chademaKila la kheri! Ajikite kwenye kazi za ACT na siyo kukodoelea kodoelea Chadema!
Walio Chadema HAWANA uroho wa madaraka? Ahahahahaha!!!Wakafie mbele,,,,uroho wa madaraka, cdm wameona hawatoweza kugombea !
Kama yule ntobi ni box kabisa