Auto-Marvelt
JF-Expert Member
- Jul 13, 2019
- 2,661
- 5,583
Bora mwanaume mmoja kuliko mashoga kumi
Sasa itakuaje?🤷🤷🤷G55 imegawanyika
nadhani suala la kupokelewa na katibu mkuu si dogo ukizingatia doroth semu atakuwa anajipanga na uchaguzi mkuu 2025.ICT bado chama kichanga katibu mkuu anampokea Ntobi
poleKila la heri
Huyu mweupe kichwani aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Chadema Shinyanga.Mlikuwa mnaficha siri kwamba alikuwa mweupe kichwani au ndio ukweli au visingizio? Au ukweli ni kwamba viongozi wenu ni weupe vichwani na mnadiriki kusema ukweli wakihama.Hahaaa mbona ACT wamechukua mtu mweupe kichwani
mnaumia sana mkiona hivi aiseeGunia la chawa limepata mpagazi
Usipotoshe, G55 wameenda chaumma, hao ni wengine tuu ambao wanaendelea kuhama. Siyo kila anayehama ni G55.G55 imegawanyika
Acha kupotosha, siyo kila anayehama ni G55. Chadema ndo wamegawanyika na kila mtu anaenda anakoona kuna fursa ya uchaguzi.Hawataki tena ubweche wa Hashim Rungwe ??
Wazembe, njaa55 wameparanganyika, wamebaki kama kifaranga ambacho mama kaliwa na mwewe, inaonekana mbowe amewasaliti,,,, pengine walitegemea atawaunga mkono ama kuwafata kumbe hana mpango, mzee ameamua kujipumzikia
KabisaBora mwanaume mmoja kuliko mashoga kumi
Haifichi ukweli kwamba ni mweupeHuyu mweupe kichwani aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Chadema Shinyanga.Mlikuwa mnaficha siri kwamba alikuwa mweupe kichwani au ndio ukweli au visingizio? Au ukweli ni kwamba viongozi wenu ni weupe vichwani na mnadiriki kusema ukweli wakihama.
Weupe wake umeanza lini?Alipokuwa Mwenyekiti wa Chadema au ni robot anatumia betri hivyo betri zimekwisha?Haifichi ukweli kwamba ni mweupe