the guardian 17
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 395
- 570
Vyanzo vya taarifa nchini Kenya vinaeleza kuwa Wafula Chebukati yupo mahututi na amelezwa ICU
==
Familia ya Mwenyekiti mstaafu wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Wafula Chebukati imethibitisha kuwa amelazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi ICU katika hospitali moja ya Nairobi.
Bw Chebukati amekuwa akipatiwa matibabu kwa hali ambayo bado haijafichuliwa kwa muda sasa, lakini afya yake inaripotiwa kuzorota sana Jumatatu alasiri, na hivyo kupelekea kulazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU), ambako kwa sasa bado yuko.
Source: buzzroomkenya