Aliyekuwa mwenyekiti wa tume huru ya uchaguzi na mipaka (IEBC) Wafula Chebukati amelazwa ICU

the guardian 17

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
395
Reaction score
570
Vyanzo vya taarifa nchini Kenya vinaeleza kuwa Wafula Chebukati yupo mahututi na amelezwa ICU
==

Familia ya Mwenyekiti mstaafu wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Wafula Chebukati imethibitisha kuwa amelazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi ICU katika hospitali moja ya Nairobi.

Bw Chebukati amekuwa akipatiwa matibabu kwa hali ambayo bado haijafichuliwa kwa muda sasa, lakini afya yake inaripotiwa kuzorota sana Jumatatu alasiri, na hivyo kupelekea kulazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU), ambako kwa sasa bado yuko.

Source: buzzroomkenya
 
Pole yake Sana.

Ila tunaomba asije akafanyiwa kama yale aliyofanyiwa Samuel Kivuitu.
 
Siasa zinaanza kurudi Pre AU election! Hii ndio Kenya sasa!
 
Back
Top Bottom