Aliyekuwa na huu wimbo (Audio ) naomba auweke hapa, naukubali sana

Aliyekuwa na huu wimbo (Audio ) naomba auweke hapa, naukubali sana

Zekoddo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
1,859
Reaction score
4,539
Golden tz - Lonely.

Kama inavyoonekana hapo juu, Msanii anaitwa Golden tz na wimbo unaitwa Lonely. Frankly kwangu ni wimbo mkali sana Ila nimejaribu kuutafuta kwenye platforms mbalimbali sijafanikiwa kuupata.

Kwa mara ya kwanza niliusikia Clouds FM siku kama mbili zilizopita kwenye kipindi Cha BongoFleva alipokuwa anautambulisha.
 
Lipia tangazo la wimbo wako
Na kweli alipie Tangazo. Huo wimbo upo uploaded just an hour ago, YouTube.

Nikajua ana shida kweli kumbe anapush ili apate viewers.

Anyway, wimbo wenyewe huu hapa.
 
Pamoja na yote but umenisaidia sana kuupata huu wimbo..
Asante🙏🙏 Dr Restart
 
Pamoja na yote but umenisaidia sana kuupata huu wimbo..
Asante🙏🙏
 
Huu wimbo labda kwa kuwa umechelewa kuwa uploaded huko kwenye blogs but from day one nausikia nilijua ushawekwa huko, So nikawa siupati
 
Back
Top Bottom