Na kweli alipie Tangazo. Huo wimbo upo uploaded just an hour ago, YouTube.Lipia tangazo la wimbo wako
Hata masanja analima mkuu ila anaimba pia.Mkuu, me nipo zangu Ifakara Huku Mashamba ya Mpunga navuna.. kuimba nijulie wapi
Nimeusikia mkuu adrop na YouTube channel tuka subscribeNa kweli alipie Tangazo. Huo wimbo upo uploaded just an hour ago, YouTube.
Nikajua ana shida kweli kumbe anapush ili apate viewers.
Anyway, wimbo wenyewe huu hapa.
View attachment 2646165
NAKAZIALipia tangazo la wimbo wako
Ashindwe yeyeNAKAZIA
Baada ya malipo alete na youtube channel tukasubscribe kabisa