Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli azikwa Chato mkoani Geita

Kuna huyu dada wa itifaki hapa anaongoza viongozi kutoka hapa uwanjani niseme tu yuko njema wazee[emoji23]
 
Tawala zote zilizopita tumekuwa watu wa kulalamika tu hata huu unaokuja tutalalamika
Hata wangechukua cdm act au mzee rungwe
Tungelalamika tu

Ova
 
Yaani wakati watu tunaham ya kufuatilia yanayojiri chato kwenye mazishi ya JPM nyie kila saa mnaturudisha studio mnajadilijadili tu badala ya kutuachia tuangalie. Kama hamna uwezo kucover mda wote si muunge azam au tbc aisee kwa kituo kikubwa kama chenu kufanya chini ya matarajio ya watazamaji ni fedheha
 
Naungana na wewe,wanatuwekea program ambazo hatuwez wasikiliza.wangetuonyesha tukio zaidi.Huyo machambuzi hatumsikiliz saa hiz,tunataka kufuatilia zaidi tukio
 
Kuna watu walikuja na simu zao Chato kupiga picha nyumbani kwa Mhe. JPM lakini wamekosa fursa hiyo. Media zetu pia Hadi Sasa hazijaweza kuonesha chochote ndani ya geti la nyumba ya mzee isipokuwa kwa yale maeneo Azam na TBC waliyopewa Uhuru wa kuyaonesha.

Tumezoea kwenye matukio Kama haya cha Kwanza kuonekana huwa nyumba na mandhari ya nje, tuliona kwa Mkapa hadi namna usafi ulivyofanyika baada ya kufariki lakini huku chato hali ipo Tofauti. N

ilitamani kuona walipoapa viongozi mbalimbali pamoja mandhari ila acha tu...no maphoto photo ndani ya himaya ya mzee.

Jifunzeni kudhibiti watu wanaopenda kujua yasiyowahusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…