Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli azikwa Chato mkoani Geita

Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli azikwa Chato mkoani Geita

Kuna watu walikuja na simu zao chato kupiga picha nyumbani kwa Mhe. JPM lakini wamekosa fursa hiyo. Media zetu pia Hadi Sasa hazijaweza kuonyesha chochote ndani ya geti la nyumba ya mzee isipokuwa kwa yale maeneo Azam na TBC waliyopewa Uhuru wakuyaonyesha.

Tumezoea kwenye matukio Kama haya Cha Kwanza kuonekana huwa nyumba na mandhari ya nje, tuliona kwa Mkapa hadi namna usafi ulivyofanyika baada ya kufariki lakini huku chato Hali ipo Tofauti. Nilitamani kuona walipoapa viongozi mbalimbali pamoja mandhari ila acha tu...no maphoto photo ndani ya himaya ya mzee. Jifunzeni kudhibiti watu wanaopenda kujua yasiyowahusu.
mandhari ya nyumba pameja ufisadi wa hali ya juu hayaendani naalivyokuwa anapigiwa debe raisi wa wanyonge,wamepigwa marufuku kuelekeza kamera kule
 
Kuna watu walikuja na simu zao chato kupiga picha nyumbani kwa Mhe. JPM lakini wamekosa fursa hiyo. Media zetu pia Hadi Sasa hazijaweza kuonesha chochote ndani ya geti la nyumba ya mzee isipokuwa kwa yale maeneo Azam na TBC waliyopewa Uhuru wa kuyaonesha.

Tumezoea kwenye matukio Kama haya cha Kwanza kuonekana huwa nyumba na mandhari ya nje, tuliona kwa Mkapa hadi namna usafi ulivyofanyika baada ya kufariki lakini huku chato hali ipo Tofauti. N

ilitamani kuona walipoapa viongozi mbalimbali pamoja mandhari ila acha tu...no maphoto photo ndani ya himaya ya mzee.

Jifunzeni kudhibiti watu wanaopenda kujua yasiyowahusu.
Hivi huwa mnawaza na nini? kama watu waliweza kupiga picha mwili ukiwa kwenye jeneza, Wangetaka kupiga hapo chato kingeshindikana kipi?? kwani hapo ni Vault za hazina??
 
1616763603665.jpeg

hapa ni awamu ya nne Kikwete akiwa Rais
 
Ukiona mtu anaogopa kukuonesha kwake ,basi jiongeze....

Kama nyumbani kwako ni pazuri lazima utatamani kuwaonesha watu tu ....
 
Mi naangalia urefu wa hiyo fence nyeupe...mzee alijiandaa bana na kwao
 
Back
Top Bottom