Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli azikwa Chato mkoani Geita

Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli azikwa Chato mkoani Geita

See you again El Commandente John Joseph"Pombe"Magufuli"
May Holy Mary Mother of Mercy embrace in her hands.
Umejitahidi kuishi katika kusudu la kuumbea kwako...Tutayaishi maono yako.

Mwanga wa Milele ukuangazie 💔💔😢😢
 
Imekuaje tena timesubiri kutwa nzima wanaishia kutuonesha sura za waombolezaji? Kama kuna mwenye video atunoshe baadae
 
Magu alikua msukuma, nahisi pia alipewa u chifu/utemi, usikute anazikwa sambamba/pamoja na watu walio hai, hizo ni mila za kisukuma.
Hii italeta viconspiracy theory vingi sana baadae...
 
Back
Top Bottom