Mnyenz
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 2,933
- 8,112
Magu alikua msukuma, nahisi pia alipewa u chifu/utemi, usikute anazikwa sambamba/pamoja na watu walio hai, hizo ni mila za kisukuma.Mbona hawanyesha anavyozikwa hawa wapuuzi..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magu alikua msukuma, nahisi pia alipewa u chifu/utemi, usikute anazikwa sambamba/pamoja na watu walio hai, hizo ni mila za kisukuma.Mbona hawanyesha anavyozikwa hawa wapuuzi..
Dah mkuu naww umemuona nilikua makini nae Sana muda wote dahh..😅😅,,Ameshamaliza jukumu lake. Ila alikuwa kavalia sketi nyeusi[emoji91][emoji91]
duhhMagu alikua msukuma, nahisi pia alipewa u chifu/utemi, usikute anazikwa sambamba/pamoja na watu walio hai, hizo ni mila za kisukuma.
Hii ya leo hupati video, walioingia ni wana familia na viongozi wa serikali na wajeda. Kama kuna video basi kuna shid mahali...Imekuaje tena timesubiri kutwa nzima wanaishia kutuonesha sura za waombolezaji? Kama kuna mwenye video atunoshe baadae
Kuna conspiracy theories zitakuja baadae sana kuwa jpm hakuzikwa au hakufa kama 2pac vileMbona hawanyesha anavyozikwa hawa wapuuzi..
Bora hii kitu imeisha tuanze kusoma kitabu kipya. Cha zamani kimetuchosa!Hapa kuna mengi kweli
Hapa umeandika shudu mkuu 🤔Magu alikua msukuma, nahisi pia alipewa u chifu/utemi, usikute anazikwa sambamba/pamoja na watu walio hai, hizo ni mila za kisukuma.
Hii italeta viconspiracy theory vingi sana baadae...Magu alikua msukuma, nahisi pia alipewa u chifu/utemi, usikute anazikwa sambamba/pamoja na watu walio hai, hizo ni mila za kisukuma.