Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Muda ni mwalimu mzuri.
Ngoja wamalize kuzika, maombolezo yaishe, maisha yasonge kidogo. Media hizi hizi za uchochoroni zitakuwa na coverage ya kijiji cha Chato baada ya kifo cha Magufuli. Litakuwa jambo la fahari aibu.