Uponyaji na uzima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 666
- 1,255
Yaani Mariamu ampokee kama nani?See you again El Commandente John Joseph"Pombe"Magufuli"
May Holy Mary Mother of Mercy embrace in her hands.
Umejitahidi kuishi katika kusudu la kuumbea kwako...Tutayaishi maono yako.
Mwanga wa Milele ukuangazie πππ’π’
Yaani kuna vitu wanaona tu waliopo hapo. Hatujaona Jeneza likitelemshwa wala Kufunikwa kama kwa Mkapa!Sasa mbona matukio muhimu hapo nyumbani kwake hayaonyweshwi,wanaonyeshwa onyeshwa watu na ndege tu hata kaburi kuliona ni nongwa,duuu
A mad man say what he say..Yaani Mariamu ampokee kama nani?
Mkuu, Mariamu alimzaa Yesu lakini hakumzaa Kristo ambaye ni Immanuel, yeye ni wa milele, hakuumbwa, hana mwanzo wala mwisho.
Mariamu yeye mwenyewe ilimpasa kumwamini Yesu ili aweze kuurithi uzima wa milele, hakuwa na guarantee yoyote kwamba lazima afike mbinguni.
Huu ukweli rahisi sana hata sielewi kwanini baadhi ya watu wanakwama.
Tupeni picha tuoneKaburu limependeza kwa nje...imetengenezewa ngazi.. Hii mazishi kiboko kweli.. Watu wamechoka,Madame Rais anaangalia saa.. Hakuna ndugu anayelia wakati wa kutupa udongo.
Yawezekana wewe ni mtoto au hujatembea sana kujua tamaduni za watu, wasukuma huwa wanazikana na mtu mzima wa afya. Hata humu jukwaani kuna uzi kabisa tena nadhani huko geitaHapa umeandika shudu mkuu π€
Mkuu, hakuna ukweli wowote hapo bali ni imani ....!!Yaani Mariamu ampokee kama nani?
Mkuu, Mariamu alimzaa Yesu lakini hakumzaa Kristo ambaye ni Immanuel, yeye ni wa milele, hakuumbwa, hana mwanzo wala mwisho.
Mariamu yeye mwenyewe ilimpasa kumwamini Yesu ili aweze kuurithi uzima wa milele, hakuwa na guarantee yoyote kwamba lazima afike mbinguni.
Huu ukweli rahisi sana hata sielewi kwanini baadhi ya watu wanakwama.
Nimeshangaa sana kwa wanyonge kutopewa fursa hata ya kuona tu kupitia tv kinachoendelea juu ya mazishi ya kipenzi chao,hawajatendewa haki kabisa,kwenye mazishi kuna siri gani sasaYaani kuna vitu wanaona tu waliopo hapo. Hatujaona Jeneza likitelemshwa wala Kufunikwa kama kwa Mkapa!
This reveals who you are.. case settled.A mad man say what he say..
Here you are
Mwamba ni Yesu tuDuh...
Mwamba ndio basi tena. Keshawekwa kwenye kaburi...Aisee
Nani kakuuliza?Mwamba ni Yesu tu
Hamna ukweli kuhusu nini?Mkuu, hakuna ukweli wowote hapo bali ni imani ....!!
Pole kwa kufiwa mkuuNani kakuuliza?
Acha kiherehere
Kama zakoπ π ..usinune...πUrais kiboko, mama samia naona kaanza kuzeeka! Naona wrinkles usoni ambazo sijawahi ziona kwake usoni
πππ
Hilo limetengenezwa na lina reli kwa chini limevutwa tu.Technology gani imetumika kufunika kaburi la jiwe mbona fasta sana lina malumalu
Kiaje mkuu am a slow learner ..limetengenezwaje?Hilo limetengenezwa na lina reli kwa chini limevutwa tu.