Uponyaji na uzima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 666
- 1,255
Yaani Mariamu ampokee kama nani?See you again El Commandente John Joseph"Pombe"Magufuli"
May Holy Mary Mother of Mercy embrace in her hands.
Umejitahidi kuishi katika kusudu la kuumbea kwako...Tutayaishi maono yako.
Mwanga wa Milele ukuangazie 💔💔😢😢
Mkuu, Mariamu alimzaa Yesu lakini hakumzaa Kristo ambaye ni Immanuel, yeye ni wa milele, hakuumbwa, hana mwanzo wala mwisho.
Mariamu yeye mwenyewe ilimpasa kumwamini Yesu ili aweze kuurithi uzima wa milele, hakuwa na guarantee yoyote kwamba lazima afike mbinguni.
Huu ukweli rahisi sana hata sielewi kwanini baadhi ya watu wanakwama.