Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli azikwa Chato mkoani Geita

Magaidi ni MATAGA wote kama wewe ambao hamna ya kuishi zaidi ya kuuza majungu.

Midomo yenu ni sumu kali zaidi ya nyoka swira.
Mungu lazima atawahukumu kulingana na matendo yenu.
Haa wapi,sisi ni spana tu.majungu ni ya Lisu munguwenu.
 
Huu ndio muonekano wa kaburi la aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania hayati Dkt. John Pombe Magufuli nyumbani kwao Wilayani Chato.





 
Wakuu hii inakaaje, kwamba nimeona kaburi mbili, moja ikiwa imekamirika ambayo inapicha yake,na wakati huo sehem nyinginea ipo wazi ambapo viongozi wameweka mchanga , kwangu haya ni mazalau KWA watz KWA nini , ??
Ndo Maraisi wanavyo zikwa, kwahiyo usishangai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…