jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Asante kibaraka wa RwandaWewe mwenyewe ni kibaraka wa Burundi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kibaraka wa RwandaWewe mwenyewe ni kibaraka wa Burundi
Kwenye Katiba Mpya Tume HURU nyongeza za mishahara ajira mpya kuwakamata wasiojulikanaNyie za kwenu zipo kwa nani
Ana miaka 97.... 2021-1924Kwani miaka 91 ulidhani umri hujaenda?
Haa wapi,sisi ni spana tu.majungu ni ya Lisu munguwenu.Magaidi ni MATAGA wote kama wewe ambao hamna ya kuishi zaidi ya kuuza majungu.
Midomo yenu ni sumu kali zaidi ya nyoka swira.
Mungu lazima atawahukumu kulingana na matendo yenu.
CCM ndo muongoza njia,vyama vingine ni mitandaoni tu.CCM asilia, sio hii ya kuwalisha Sumu wazee
Ivi UVCCM ndo ilimpa kichapo Lisu na genge lake kule kaskazini wakati wa kampeni,si ndio?Wewe UVCCM wacha unafiki
Naona sasa unaanza kujirusha ufahamuCCM ndo muongoza njia,vyama vingine ni mitandaoni tu.
Mimi siyo MATAGA kama weweAsante kibaraka wa Rwanda
Awamu ya tanoHahaha naona leo mama samia kaambiwa kwa kibari chako Sir wakati anakabiziwa bendera mjane ....tutaona mengi awamu hii ya 6.
Endelea na mambo mengine basi kama unayoNadhani Umesha ona kazi ya hio Picha ya Pamoja
Ndo Maraisi wanavyo zikwa, kwahiyo usishangaiWakuu hii inakaaje, kwamba nimeona kaburi mbili, moja ikiwa imekamirika ambayo inapicha yake,na wakati huo sehem nyinginea ipo wazi ambapo viongozi wameweka mchanga , kwangu haya ni mazalau KWA watz KWA nini , ??
Mama Samia tunaimani nae,kimetoka chuma kinaingia chuma.Naona sasa unaanza kujirusha ufahamu