Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli azikwa Chato mkoani Geita

Wanajeshi siyo bongo movie wahitaji camera 📷......then mambo kama hayo ilitakiwa yaishie uwanjani ya camera......privacy ni muhimu sana,siyo kila kitu kinatakiwa kuonekana
 
Ule ni kama mfuniko wa kaburi, ndio maana kukawa na reli za kuusukuma ili kufunika kaburi lenyewe. Turudi kwenye point ni kwamba hilo kaburi lingeachwa lijengwe baadae ni uharibifu wa rasilimali kitu ambacho marehemu hakukipenda enzi za uhai wake. Alitaka mambo yaende haraka.
 
..
Mpaka hapa ni maneno tu lakini hakuna hata mmoja anayetupia japo kajipicha tu ili kuhakiki Uzi! [emoji848]
 
Wakuu hii inakaaje, kwamba nimeona makaburi mawili, moja likiwa limekamilika ambalo linapicha yake, na wakati huo sehemu nyingine ipo wazi ambapo viongozi wameweka mchanga, kwangu haya ni mazalau kwa watz kwa nini?
Ujinga ni mzigo. Ungeuliza kwanza
 
Wakuu hii inakaaje, kwamba nimeona makaburi mawili, moja likiwa limekamilika ambalo linapicha yake, na wakati huo sehemu nyingine ipo wazi ambapo viongozi wameweka mchanga, kwangu haya ni mazalau kwa watz kwa nini?

Ulikuwa sahihi. It was a sliding lid.
Kuna mengi yamefichwa hata ushushaji wa mwili kaburini haukuoneshwa live na pengine haukutokea.
 
Kwamba na kaburi chapchap
 
Hongera sana kamati ya mazishi ya hayati JPM ikiongozwa na mheshimiwa Majaliwa kwa design nzuri ya kaburi la kuslide kama geti yaani mmefanya professioalism.

Ila mmetunyima haki ya kuona jeneza likishushwa kaburini
Litamrahisishia kutoka atakapofufuka
 
Ila nahisi kuna siri hazikutakiwa zifike kwa akina kigogo ndo maana hata hawakuonyesha
 
Hongera sana kamati ya mazishi ya hayati JPM ikiongozwa na mheshimiwa Majaliwa kwa design nzuri ya kaburi la kuslide kama geti yaani mmefanya professioalism.

Ila mmetunyima haki ya kuona jeneza likishushwa kaburini
Yaani nimetafuta video ya kuona jeneza likishushwa kaburini sijaona.Naona wameogopa kina Kigogo wangeitumia vibaya hiyo video wakati jeneza likishuka.
 
Nadhani waliokwenda kwenye eneo la maziko ndio wanafahamu nini kilifanyika tu. Hivyo tusubirie wao kama watasema nini kilifanyika.

Sent from my Pace 2 Lite using JamiiForums mobile app
Kilichofanyika pale ni precasting of concrete! Kama unahitaji mfumo kama huo andaa 6.5mil tukujengee) hapo inajumuisha material na ufundi complete
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…