Nzuguni one
JF-Expert Member
- Dec 23, 2019
- 1,157
- 481
Mmmmmmh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wajuvi wa haya mambo. Mnisaidie mimi mwana wakwenu huku chato.
Lile kaburi la muheshimiwa lilikua la aina gani?je! Lilijengwa pembeni likawekewa reli au ni ule mfumo wa kisasa. Botion kwaajili ya kuokoa muda baadae watalisakafia?
Peleka Order yako mapema kwa SUMA JKThizo kazi za suma jkt
Yupo anaongoza malaika wakeMtakatifu FAKE Mkuu View attachment 1735318
Kigogo gani unaongelea mkuu
Aliyepigwa pin
Ujinga ni mzigo. Ungeuliza kwanzaWakuu hii inakaaje, kwamba nimeona makaburi mawili, moja likiwa limekamilika ambalo linapicha yake, na wakati huo sehemu nyingine ipo wazi ambapo viongozi wameweka mchanga, kwangu haya ni mazalau kwa watz kwa nini?
Wakuu hii inakaaje, kwamba nimeona makaburi mawili, moja likiwa limekamilika ambalo linapicha yake, na wakati huo sehemu nyingine ipo wazi ambapo viongozi wameweka mchanga, kwangu haya ni mazalau kwa watz kwa nini?
Kuna mengi yamefichwa hata ushushaji wa mwili kaburini haukuoneshwa live na pengine haukutokea.Ulikuwa sahihi. It was a sliding lid.
Kwamba na kaburi chapchapUle ni kama mfuniko wa kaburi, ndio maana kukawa na reli za kuusukuma ili kufunika kaburi lenyewe. Turudi kwenye point ni kwamba hilo kaburi lingeachwa lijengwe baadae ni uharibifu wa rasilimali kitu ambacho marehemu hakukipenda enzi za uhai wake. Alitaka mambo yaende haraka.
Litamrahisishia kutoka atakapofufukaHongera sana kamati ya mazishi ya hayati JPM ikiongozwa na mheshimiwa Majaliwa kwa design nzuri ya kaburi la kuslide kama geti yaani mmefanya professioalism.
Ila mmetunyima haki ya kuona jeneza likishushwa kaburini
Ila nahisi kuna siri hazikutakiwa zifike kwa akina kigogo ndo maana hata hawakuonyeshaUle ni kama mfuniko wa kaburi, ndio maana kukawa na reli za kuusukuma ili kufunika kaburi lenyewe. Turudi kwenye point ni kwamba hilo kaburi lingeachwa lijengwe baadae ni uharibifu wa rasilimali kitu ambacho marehemu hakukipenda enzi za uhai wake. Alitaka mambo yaende haraka.
Nadhani waliokwenda kwenye eneo la maziko ndio wanafahamu nini kilifanyika tu. Hivyo tusubirie wao kama watasema nini kilifanyika...
Mpaka hapa ni maneno tu lakini hakuna hata mmoja anayetupia japo kajipicha tu ili kuhakiki Uzi! [emoji848]
Yaani nimetafuta video ya kuona jeneza likishushwa kaburini sijaona.Naona wameogopa kina Kigogo wangeitumia vibaya hiyo video wakati jeneza likishuka.Hongera sana kamati ya mazishi ya hayati JPM ikiongozwa na mheshimiwa Majaliwa kwa design nzuri ya kaburi la kuslide kama geti yaani mmefanya professioalism.
Ila mmetunyima haki ya kuona jeneza likishushwa kaburini
Kilichofanyika pale ni precasting of concrete! Kama unahitaji mfumo kama huo andaa 6.5mil tukujengee) hapo inajumuisha material na ufundi completeNadhani waliokwenda kwenye eneo la maziko ndio wanafahamu nini kilifanyika tu. Hivyo tusubirie wao kama watasema nini kilifanyika.
Sent from my Pace 2 Lite using JamiiForums mobile app
Kwani gwajima anasemaje?.Litamrahisishia kutoka atakapofufuka