Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli azikwa Chato mkoani Geita

1 korintho 15; 35-38

35Lakini mtu anaweza kuuliza: "Wafu watafufuliwaje? Watakuwa na mwili wa namna gani wakati watakapokuja tena?" 36Hayo ni maswali ya kijinga! Ukipanda mbegu, isipokufa kwanza haitaota. 37Unachopanda ni mbegu tu, labda ya ngano au nafaka nyingine, na si mmea mzima ambao hutokea baadaye. 38Mungu huipa hiyo mbegu mwili anaoutaka mwenyewe; kila mbegu hupata mwili wake wa pekee. 39Miili ya viumbe vyote si sawa. Miili ya binadamu ni ya namna moja, ya wanyama ni ya namna nyingine, ya ndege ni ya namna nyingine na miili ya samaki pia ni ya namna nyingine. 40Iko miili ya mbinguni na miili ya duniani; uzuri wa miili ya mbinguni ni mwingine, na na uzuri wa miili ya duniani ni mwingine. 41Uko uzuri wa jua, wa mwezi na wa nyota; hata nyota nazo huhitilafiana kwa uzuri.

1 korintho 15; 53-55


53Maana sharti huu uharibikao uvae kutokuharibika, nao huu wa kufa uvae kutokufa.
54Basi huu uharibikao utakapovaa kutokuharibika, na huu wa kufa utakapovaa kutokufa, hapo ndipo litakapokuwa lile neno lililoandikwa, Mauti imemezwa kwa kushinda.
55Ku wapi, Ewe mauti, kushinda kwako? U wapi, Ewe mauti, uchungu wako?
 
Angalieni pale kaburini vizuri,huyu mleta mada hajakurupuka. Nyie mlikuwa kwenye tv,wenzenu tulikuwa laivu. Tujibu hoja kwa hoja
 
Ni material gani iliyotumika kwenye lile funiko?means hakuna tofali pale
 
Wakuu hii inakaaje, kwamba nimeona makaburi mawili, moja likiwa limekamilika ambalo linapicha yake, na wakati huo sehemu nyingine ipo wazi ambapo viongozi wameweka mchanga, kwangu haya ni mazalau kwa watz kwa nini?
Ule ni mfuniko wa kaburi umetengenezwa kwa material ya marble..... Haujaona baada ya kushusha jeneza katika kaburi wakausogeza ule mfuniko na kufunika kaburi?!
 
uharibifu wa mali kwenye jeneza tu kwingine hujaona uharibifu...?
 
May be maandiko yanasema hivyo
 
Ule ni mfuniko wa kaburi umetengenezwa kwa material ya marble..... Haujaona baada ya kushusha jeneza katika kaburi wakausogeza ule mfuniko na kufunika kaburi?!
Mkuu sikuona ila shukrani KWA ufafanuzi
 
Habari za social media ni sahihi zaidi kuliko hao akina Majaliwa. Si hao waliuosema Rais yuko busy akipekua mafaili wakati tayari alikwisha kuaga dunia? Utawaaminije hao?
Alituambia rais yuko buheri wa afya akiendelea na kazi zake, kumbe uhalisia mwamba tayari alikuwa wabaridi kitambo tu, mitano tenaaaaaaa.
 
Magufuli alizikwa juzi usiku na wazee wa mji wakisukuma,walidai Magufuli alikua ni mfalme,
Jana kulikua na jeneza tupu bila kitu.
Magufuli alizikwa juzi usiku baada ya wazee kuchukua mwiliwake na kizika pasipojulikana.
Jeneza lilikua tupu,hakuna alikua akijua Hilo.
Askof alikua anazika jeneza tupu bila kujuakunachoendelea.
 
Habari za social media ni sahihi zaidi kuliko hao akina Majaliwa. Si hao waliuosema Rais yuko busy akipekua mafaili wakati tayari alikwisha kuaga dunia? Utawaaminije hao?
nachukia watu wanao mlaumu majaliwa jiulize maswal haya kabla hujamlaum
*majaliwa ni Pm ana pata taarifa kwa wakubwa zake
*je kama mzee hakutaka itangazwe
*na je kama walipanga kupunguza taharuki wakati ule
+ukitaka kuamin angalia shahuku ya watanzania wakati ule alafu angalia muda waliokuja kutangaza huoni taharuk ilipungua kwa kias fulan . Jaman viongoz wetu wanafany kaz kwa utaratibu na kwa viapo vya kutunza siri walivyoapa mbele ya mh rais

Muwe mnafikiriaga je kama ni ww ungesemann msilalamike tuu fikirieni
Kiufupi naiman sana na serikal iliyopo mzee alijenga misingi mizur Mwenyez Mungu ampumzishe mahal pema

***NAKUPENDA TANZANIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…