Sliding cemeteryWakuu hii inakaaje, kwamba nimeona makaburi mawili, moja likiwa limekamilika ambalo linapicha yake, na wakati huo sehemu nyingine ipo wazi ambapo viongozi wameweka mchanga, kwangu haya ni mazalau kwa watz kwa nini?
Thanks mkuuSliding cemetery
Haipo. Au ile ikuonyesha mfuniko ukiwekwa kwenye kaburi.
Sijakuelewa, hebu fafanua maandiko yanasemajeMay be maandiko yanasema hivyo
Hapana, nakataa kabisa, hawako sahihi. Rejea ufufuo wa YESU KRISTO, alitoka kaburini akiwa na mwili wake, hakuacha mwili wake kaburini.Wako Sahihi ,
Mwili utakua hapo kwenye nyumba ya Milele kaburini,
Kwani utapo fufuliwa utafufuka Na mwili mpya hivyo huo utabaki hapo hapo mavumbini milele kumbuka mwili ni nyumba tu ya Roho ,hivyo Roho imeshatengana na mwili
Basi utapofufuliwa Roho itakua kwenye mwili mpya
So ni sahihi kusema Mwili utakua hapo kwenye nyumba ya milele kwani hutafufuka nao Bali mwili mwingine!
Wanajua kutangaza habari Sana in summary ila imejimiisha yote mwanzo mwisho wa msiba..Wengine tulikua vibaruani hatukupata kuyasijia maneno ya busara na ya faraja ya Mzee Mwinyi na Rais Suluhu
Kabisa nimejisikia kama nilikuwepo.Wanajua kutangaza habari Sana in summary ila imejimiisha yote mwanzo mwisho wa msiba..
Kwani hukuridhika na local channels?Kabisa nimejisikia kama nilikuwepo.
Local channels zilipangiwa locations za kuchukua matukio. Hapa tumeona mpaka nyumba ya Rais wa wanyonge.Kwani hukuridhika na local channels?
Unataka kusema siyo mzalendo?Kwani hukuridhika na local channels?
Naomba kutofautiana.Local channels zilipangiwa locations za kuchukua matukio. Hapa tumeona mpaka nyumba ya Rais wa wanyonge.
Macho uona kile kilicho mawazoni mwa mtazamaji....Local channels zilipangiwa locations za kuchukua matukio. Hapa tumeona mpaka nyumba ya Rais wa wanyonge.
Hata mimi nilidhani anatuonyesha makanali na mabrigedia jenerali wakishusha jeneza kaburini.Naomba kutofautiana.
Tuliokuwa tunastreem kupitia channel ya ikulu, ccm na wasafi tv kwenye youtube vioande vyote unavyo viona hapo vilionekana.
Sehem ambapo hatukuoneshwa ni wakati mwili wa marehemu unateremshwa kaburini na nilijua link uliyoweka ina hicho kipande na sijakiona.
kabur nikabur2 liwe lijengwa kwa zahabu or limefukiwa kwa udongo! R I P jiwe Mwenyez mungu akupunguzie azabu ya kaburHebu mliokuwa pale kwenye kumzika JPM mtuambie ule mfuniko wa tyles uliwekwaje pale? Je ulibebwa au ulipachikwa vipi? Mlioangalia mtanielewa namaanisha Nini.
Jibu swalikabur nikabur2 liwe lijengwa kwa zahabu or limefukiwa kwa udongo! R I P jiwe Mwenyez mungu akupunguzie azabu ya kabur
Ni vizuri ukajikita kwenye mada....kabur nikabur2 liwe lijengwa kwa zahabu or limefukiwa kwa udongo! R I P jiwe Mwenyez mungu akupunguzie azabu ya kabur
siwez kujibu mambo yamakabur Mimi siyajui, Ngoja waje wafu watakujibuJibu swali