Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli azikwa Chato mkoani Geita

Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli azikwa Chato mkoani Geita

Wakuu hii inakaaje, kwamba nimeona makaburi mawili, moja likiwa limekamilika ambalo linapicha yake, na wakati huo sehemu nyingine ipo wazi ambapo viongozi wameweka mchanga, kwangu haya ni mazalau kwa watz kwa nini?
Sliding cemetery
 
Wako Sahihi ,
Mwili utakua hapo kwenye nyumba ya Milele kaburini,
Kwani utapo fufuliwa utafufuka Na mwili mpya hivyo huo utabaki hapo hapo mavumbini milele kumbuka mwili ni nyumba tu ya Roho ,hivyo Roho imeshatengana na mwili
Basi utapofufuliwa Roho itakua kwenye mwili mpya
So ni sahihi kusema Mwili utakua hapo kwenye nyumba ya milele kwani hutafufuka nao Bali mwili mwingine!
Hapana, nakataa kabisa, hawako sahihi. Rejea ufufuo wa YESU KRISTO, alitoka kaburini akiwa na mwili wake, hakuacha mwili wake kaburini.

Vivyo hivyo na wafu watafufuliwa na kutoka makaburini mwao, hawataacha miili yao ndani ya makaburi. Watafufuka na miili kisha miili hiyo itapewa uwezo wa kutokufa tena.

Soma Ezekieli 37:12-14
 
Local channels zilipangiwa locations za kuchukua matukio. Hapa tumeona mpaka nyumba ya Rais wa wanyonge.
Naomba kutofautiana.

Tuliokuwa tunastreem kupitia channel ya ikulu, ccm na wasafi tv kwenye youtube vioande vyote unavyo viona hapo vilionekana.

Sehem ambapo hatukuoneshwa ni wakati mwili wa marehemu unateremshwa kaburini na nilijua link uliyoweka ina hicho kipande na sijakiona.
 
Local channels zilipangiwa locations za kuchukua matukio. Hapa tumeona mpaka nyumba ya Rais wa wanyonge.
Macho uona kile kilicho mawazoni mwa mtazamaji....
Umeyajaza mawazo yako nguvu mbaya ambayo ipo siku itakuumiza...
 
Naomba kutofautiana.

Tuliokuwa tunastreem kupitia channel ya ikulu, ccm na wasafi tv kwenye youtube vioande vyote unavyo viona hapo vilionekana.

Sehem ambapo hatukuoneshwa ni wakati mwili wa marehemu unateremshwa kaburini na nilijua link uliyoweka ina hicho kipande na sijakiona.
Hata mimi nilidhani anatuonyesha makanali na mabrigedia jenerali wakishusha jeneza kaburini.

Tatizo la Bavicha wako kimajungu majungu zaidi!
 
Hebu mliokuwa pale kwenye kumzika JPM mtuambie ule mfuniko wa tyles uliwekwaje pale? Je ulibebwa au ulipachikwa vipi? Mlioangalia mtanielewa namaanisha Nini.
 
Hebu mliokuwa pale kwenye kumzika JPM mtuambie ule mfuniko wa tyles uliwekwaje pale? Je ulibebwa au ulipachikwa vipi? Mlioangalia mtanielewa namaanisha Nini.
kabur nikabur2 liwe lijengwa kwa zahabu or limefukiwa kwa udongo! R I P jiwe Mwenyez mungu akupunguzie azabu ya kabur
 
Back
Top Bottom