Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Hapana yeye ni UVCCM na kachaguliwa kwenye kamati ya maakuliKwani barafu kaolewa??[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana yeye ni UVCCM na kachaguliwa kwenye kamati ya maakuliKwani barafu kaolewa??[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwacheni afanyekaziKati ya watu ambao sina imani nao ni huyu mama asee.
Endelea kusherehekea...Kwani tunakatazwa hata kula?
Ufipa bhanaHapana yeye ni UVCCM na kachaguliwa kwenye kamati ya maakuli
Usilazimishe unavyotaka weweEndelea kusherehekea...
Kucheka ni kipimo cha nini?Huyu mzee anahutubia hakuna hata anayecheka.
Hivi mwenzako kipara kipya yupo wapi mbona simuoni?Ufipa bhana
Bibi yangu hata watoto wake wakienda anaanza kuuliza "wewe ni mtoto wa nani"?
Sawa mkuuMwacheni afanyekazi
Yupo ufipaHivi mwenzako kipara kipya yupo wapi mbona simuoni?
Yule hata kugusa mlango wa hapo hawezi maana hana sifaYupo ufipa
Tuonane in box haraka bila kuchelewa nina jambo nawe!! Usipuuze!!View attachment 1734794
View attachment 1734805
View attachment 1734792
View attachment 1734845
View attachment 1734795
View attachment 1734846
View attachment 1734793View attachment 1734796View attachment 1734801
Suzana Magufuli, mtoto wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, akisoma somo la pili katika Misa Takatifu ya kumwombea Baba yake
View attachment 1734797View attachment 1734798View attachment 1734799View attachment 1734800
[emoji120]Kuongoza nchi sio jambo rahisi sana.
nawaza mtu ana mke na watoto wawili ila hawezi kuongoza familiya migogoro kibao,sembuse magufuli kuongoza hili linchi looote? Lawama zote kwake?
Wewe unaeshindwa kuongoza familiya usimame kumuhukumu magufuli?
Nahisi magufuli kaishi maisha magumu pale ikulu, wabaya wake wote wenda waliishi nae.
Sisi hatuwezi kujua ni makubwa gani alikuwa akiyapitia ila mtu anamuhukumu tu.
Wacheni akahukumiwe mbinguni ila sisi ambao tuko hai tukae kimya. Kile kiti cha urais sio chepesi kukikalia ukawa na amani ya moyo.
Kinachomponza magufuli ni the so called " employer's liabbility. Yaan sometimes analazimika kubeba dhambi za watu wengine.
Kila binadamu ana napungufu yake hivyo basi itoshe kusema that man was a good person.
Ameniuma sana coz nahisi alipitia mengi ambayo yalikuwa nje ya uwezo wake.
Hizi movie tunazoziona zinatosha kujua Rais au mfalme anapitia maisha gani magumu wakati akiwatumikia watu wake.
Lala salama magufuli huko uendako hakuna majungu, matusi, lawama.ni kusinzia tu.
Katika maisha ya baadae (kuzaliwa upya) ningependa nije nikuzae uwe kati ya watoto wangu nitakaojaliwa.
R.I.P J.P.M[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Nimekuoa like Heaven sent
Umeandika mambo mazuri Ila huko mwishoni umeharibu....Kuongoza nchi sio jambo rahisi sana.
nawaza mtu ana mke na watoto wawili ila hawezi kuongoza familiya migogoro kibao,sembuse magufuli kuongoza hili linchi looote? Lawama zote kwake?
Wewe unaeshindwa kuongoza familiya usimame kumuhukumu magufuli?
Nahisi magufuli kaishi maisha magumu pale ikulu, wabaya wake wote wenda waliishi nae.
Sisi hatuwezi kujua ni makubwa gani alikuwa akiyapitia ila mtu anamuhukumu tu.
Wacheni akahukumiwe mbinguni ila sisi ambao tuko hai tukae kimya. Kile kiti cha urais sio chepesi kukikalia ukawa na amani ya moyo.
Kinachomponza magufuli ni the so called " employer's liabbility. Yaan sometimes analazimika kubeba dhambi za watu wengine.
Kila binadamu ana napungufu yake hivyo basi itoshe kusema that man was a good person.
Ameniuma sana coz nahisi alipitia mengi ambayo yalikuwa nje ya uwezo wake.
Hizi movie tunazoziona zinatosha kujua Rais au mfalme anapitia maisha gani magumu wakati akiwatumikia watu wake.
Lala salama magufuli huko uendako hakuna majungu, matusi, lawama.ni kusinzia tu.
Katika maisha ya baadae (kuzaliwa upya) ningependa nije nikuzae uwe kati ya watoto wangu nitakaojaliwa.
R.I.P J.P.M😭😭😭😭😭
We bwege biriani la nini msibani?Kwani tunakatazwa hata kula?
Hahahahahahahaa....hahhahhahaa jus hahajhahahaHapana yeye ni UVCCM na kachaguliwa kwenye kamati ya maakuli