Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli azikwa Chato mkoani Geita

Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli azikwa Chato mkoani Geita

Dah...
Haya maisha haya. Leo mwamba ndio kafika nyumbani. Analala hapo forever and forever and forever...
 
Hahaha naona leo mama samia kaambiwa kwa kibari chako Sir wakati anakabiziwa bendera mjane ....tutaona mengi awamu hii ya 6.
Wabongo (hasa mliokulia vichochoroni), mnatabia ya kumind na kutaka kujadili hata vitu ambavyo havina mantiki kabisa, ndomaana mnatambulika kwa umbea. Sasa hilo swala nalo ni la kukuumiza kichwa? [emoji28]
 
Ona naye huyu kichwa maji tangu lini mwanamke akaitwa Sir...hakika lumumba mmekuwa vipofu.
 
Aise hata mm nisijaziwe udongo jamani..yaan ni adhabu kubwa mno
Huwa nawaza tu kwa ule urushaji wa udongo ndani ya kaburi, mpaka mchanga uje kujaa nadhani jeneza linakuwa limevunjika na kama lina vioo Basi lishapasuka ovyo. Sema ndohivyo ukifa unakuwa huna utambuzi wowote, kwahiyo yote yanakuwa hayana maana.
 
Back
Top Bottom