Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
Naomba link basi mkuuNenda you tube washaiweka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba link basi mkuuNenda you tube washaiweka
Wabongo (hasa mliokulia vichochoroni), mnatabia ya kumind na kutaka kujadili hata vitu ambavyo havina mantiki kabisa, ndomaana mnatambulika kwa umbea. Sasa hilo swala nalo ni la kukuumiza kichwa? [emoji28]Hahaha naona leo mama samia kaambiwa kwa kibari chako Sir wakati anakabiziwa bendera mjane ....tutaona mengi awamu hii ya 6.
Kwema best..Pole kwa msibaKwahyo ndan hawajajaza maudongo kama wanyonge tunavyozikwa?
Mimi au wewe ndiyo tutaenda hukoDah...
Haya maisha haya. Leo mwamba ndio kafika nyumbani. Analala hapo forever and forever and forever...
Ukiachana na huyo, mbona wengi tu wanazikwa bila kujaziwa udongo? Mimi pia sitarajii kujaziwa udongo.Kwahyo ndan hawajajaza maudongo kama wanyonge tunavyozikwa?
17:09. Happy EndingUtaelewa tu
Naomba link basi mkuu
Mtu ni roho, roho huishi milele. Kaburini utarudi mwili ambao ni udongo, ila roho itamrudia yeye aliyeitoa.Mwisho wa maisha yetu sote ni kaburi...
Aise hata mm nisijaziwe udongo jamani..yaan ni adhabu kubwa mnoUkiachana na huyo, mbona wengi tu wanazikwa bila kujaziwa udongo? Mimi pia sitarajii kujaziwa udongo.
Nimepoa best..pole na wewe.Kwema best..Pole kwa msiba
Ova
Ashajikatia tamaa..na ubaya wa rona inaweza rudi mara ya 2Yaani mpango bado havai barakoa...
😀😀😀😀
Huyu jamaa atakua stubborn sana
Hayo yote unayodai kuhusu Yesu na Maria huwezi kuthibitisha ukweli wake .... yote ni Imani ....!!Hamna ukweli kuhusu nini?
Ona naye huyu kichwa maji tangu lini mwanamke akaitwa Sir...hakika lumumba mmekuwa vipofu.Wabongo (hasa mliokulia vichochoroni), mnatabia ya kumind na kutaka kujadili hata vitu ambavyo havina mantiki kabisa, ndomaana mnatambulika kwa umbea. Sasa hilo swala nalo ni la kukuumiza kichwa? [emoji28]
Huwa nawaza tu kwa ule urushaji wa udongo ndani ya kaburi, mpaka mchanga uje kujaa nadhani jeneza linakuwa limevunjika na kama lina vioo Basi lishapasuka ovyo. Sema ndohivyo ukifa unakuwa huna utambuzi wowote, kwahiyo yote yanakuwa hayana maana.Aise hata mm nisijaziwe udongo jamani..yaan ni adhabu kubwa mno
Ndiyo Ukweli WenyeweBora tu, imetosha sasa, marehemu kazungushwa sana.