Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli azikwa Chato mkoani Geita

Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli azikwa Chato mkoani Geita

Leo jioni ulimsikia waziri mkuu kuhusu mama yake na jpm? Au unaongelea mama yupi? Unasikiliza sana rumours za vijiweni
Hivi mnaendeleaje kumuamini huyo mtu?

Alishawadanganya sana hamuelewi... Mabeyo kathibitisha uongo wake, familia pia. Simuamini pm
 
Mimi wakwenda msibani na nisile.
Dunia Hii ndogo sana
 
Leo jioni ulimsikia waziri mkuu kuhusu mama yake na jpm? Au unaongelea mama yupi? Unasikiliza sana rumours za vijiweni
Kwani si huyuhuyu waziri mkuu aliyesema raisi mzima yuko busy ikulu wakati alikua mgonjwa?? Just 🙃
 
Wakuu hii inakaaje, kwamba nimeona kaburi mbili, moja ikiwa imekamirika ambayo inapicha yake,na wakati huo sehem nyinginea ipo wazi ambapo viongozi wameweka mchanga , kwangu haya ni mazalau KWA watz KWA nini , ??
Mazalau ndio nini!!?
 
Kwani si huyuhuyu waziri mkuu aliyesema raisi mzima yuko busy ikulu wakati alikua mgonjwa?? Just [emoji854]
Basi itakua Raisi mwenyewe ndio kamdanganya Waziri mkulu wetu kumbee kafaa
 
Wakuu hii inakaaje, kwamba nimeona kaburi mbili, moja ikiwa imekamirika ambayo inapicha yake,na wakati huo sehem nyinginea ipo wazi ambapo viongozi wameweka mchanga , kwangu haya ni mazalau KWA watz KWA nini , ??

Una Ugeni na Wasukuma Ndugu yetu?
 
Back
Top Bottom