Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 9,980
- 34,404
[emoji23][emoji23][emoji23]MazalauHahahah wasukuma bwana[emoji28][emoji28]..kweli hizi ni"zalau"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]MazalauHahahah wasukuma bwana[emoji28][emoji28]..kweli hizi ni"zalau"
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Walivyoenda kununua kaburi walipewa na la nyongeza
Hivi mnaendeleaje kumuamini huyo mtu?Leo jioni ulimsikia waziri mkuu kuhusu mama yake na jpm? Au unaongelea mama yupi? Unasikiliza sana rumours za vijiweni
Kigogo gani unaongelea mkuuAcha stori za kigogo wewe,, mwenzako katiwa pin saiv haonekani mtandaono Ohoooo
Kafa Manzeshe Manzishi Shinza.Jman mashishi gan tena? Au ni mm tu sijaelewa
ExactlyMimi nilidhani ule ulikuwa mfuniko baada ya kumaliza kuweka mwili mfuniko ukasogezwa kuziba shimo, sikuwa na namna ikabidi kujiaminisha hivyo.
Kwani si huyuhuyu waziri mkuu aliyesema raisi mzima yuko busy ikulu wakati alikua mgonjwa?? Just 🙃Leo jioni ulimsikia waziri mkuu kuhusu mama yake na jpm? Au unaongelea mama yupi? Unasikiliza sana rumours za vijiweni
Mazalau ndio nini!!?Wakuu hii inakaaje, kwamba nimeona kaburi mbili, moja ikiwa imekamirika ambayo inapicha yake,na wakati huo sehem nyinginea ipo wazi ambapo viongozi wameweka mchanga , kwangu haya ni mazalau KWA watz KWA nini , ??
Basi itakua Raisi mwenyewe ndio kamdanganya Waziri mkulu wetu kumbee kafaaKwani si huyuhuyu waziri mkuu aliyesema raisi mzima yuko busy ikulu wakati alikua mgonjwa?? Just [emoji854]
acha story za kijiweniKuna msiba wa mama yake.
Buy one.... Get one free.... [emoji28]Walivyoenda kununua kaburi walipewa na la nyongeza
alaaa kumbee...Mazishi...
[emoji3][emoji3][emoji3]
akikujibu ni-tagMazalau ndio nini!!?
Huu uzi umenifurahisha wallah nacheka tu hapa. Hayo majibu sasaaaa... [emoji1787][emoji1787][emoji1787]akikujibu ni-tag
Watu mna majibu 😄😄🙌Walivyoenda kununua kaburi walipewa na la nyongeza
Wakuu hii inakaaje, kwamba nimeona kaburi mbili, moja ikiwa imekamirika ambayo inapicha yake,na wakati huo sehem nyinginea ipo wazi ambapo viongozi wameweka mchanga , kwangu haya ni mazalau KWA watz KWA nini , ??