wakuja town
JF-Expert Member
- Oct 26, 2020
- 898
- 1,343
Hvi gwaji boy si anajiita mzee wa ufufuo na uzima?? Ameshindwa kumuamsha chato boy kweli??Kwani gwajima anasemaje?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hvi gwaji boy si anajiita mzee wa ufufuo na uzima?? Ameshindwa kumuamsha chato boy kweli??Kwani gwajima anasemaje?.
Hajafa ni maigizo tuHongera sana kamati ya mazishi ya hayati JPM ikiongozwa na mheshimiwa Majaliwa kwa design nzuri ya kaburi la kuslide kama geti yaani mmefanya professioalism.
Ila mmetunyima haki ya kuona jeneza likishushwa kaburini
Kilo 500 za mfuniko unazivuta bila kutumia nguvu.Hongera sana kamati ya mazishi ya hayati JPM ikiongozwa na mheshimiwa Majaliwa kwa design nzuri ya kaburi la kuslide kama geti yaani mmefanya professioalism.
Ila mmetunyima haki ya kuona jeneza likishushwa kaburini
Ulivyokuwa unabisha hajafa sjui una mmeo ikulu muache uongo sometimes.Yaani nimetafuta video ya kuona jeneza likishushwa kaburini sijaona.Naona wameogopa kina Kigogo wangeitumia vibaya hiyo video wakati jeneza likishuka.
Angefufuka baada ya siku 3Mlitaka azikwe pangoni alafu jiwe liwekwe kwenye mlango???
Cha ajabu unaweza kuta kuna psu karekodi...Wanajeshi siyo bongo movie wahitaji camera 📷......then mambo kama hayo ilitakiwa yaishie uwanjani ya camera......privacy ni muhimu sana,siyo kila kitu kinatakiwa kuonekana
nazote hizi nijuhudi za serikali y'a awamu y'a tanoHongera sana kamati ya mazishi ya hayati JPM ikiongozwa na mheshimiwa Majaliwa kwa design nzuri ya kaburi la kuslide kama geti yaani mmefanya professioalism.
Ila mmetunyima haki ya kuona jeneza likishushwa kaburini
..
Mpaka hapa ni maneno tu lakini hakuna hata mmoja anayetupia japo kajipicha tu ili kuhakiki Uzi! [emoji848]
Nakutukana ni maumbile ya binadam kuliko ujingaUjinga ni mzigo. Ungeuliza kwanza
Labda atakuwa nje ya nchi.Hvi gwaji boy si anajiita mzee wa ufufuo na uzima?? Ameshindwa kumuamsha chato boy kweli??
Ule ni uzikaji wa kisasa, kwa wakristo yaani kaburi haliwekwi mchanga, linakuwa kama shimo tu, kunakuwa tayari na funiko, kama tulivyoona pale kwa mheshimiwa hayati.. Na wameweka zile reli ili iwe rahisi kusukuma ili kuziba kaburini.. Hata marehemu Ruge alifanyiwa vile..Wajuvi wa haya mambo. Mnisaidie mimi mwana wa kwenu huku Chato.
Lile kaburi la muheshimiwa lilikua la aina gani? Je! Lilijengwa pembeni likawekewa reli au ni ule mfumo wa kisasa. Botion kwaajili ya kuokoa muda baadae watalisakafia?
Wambie mkuu, maana sijui wale walioliwa na mamba wao wangefufukaje.Kama ndo hivyo nadhani watu wazikwe juu ya miti au mawe makubwa wasifukiwe maana pia mtu amezikwa huko miaka yote hiyo atatokaje chini ya udongo?
Wengine imani zao zinaamini roho ndiyo itakayoinuliwa si mwili. Maana mwili utakuwa umeshaoza.
Umeandika andiko linalofikirisha sanaNakerwa sana na hii kauli iliyozoeleka miongoni mwa jamii yetu, kuwa, eti, "tunaenda kumweka marehemu kwenye nyumba yake ya milele".
Ingekuwa kauli hii inatolewa na watu wa kawaida, wasiojua mafundisho ya dini, wala nisingeshangaa. Lakini, cha kushangaza zaidi, nimekuwa nikiwasikia hata hao wanaojiita viongozi wa dini, Mapadre, Wachungaji, Manabii na Maaskofu wakiongea bila aibu eti, kaburi ni nyumba ya milele.
Jamani, nani kasema kaburi ni nyumba ya milele? Je, YESU KRISTO, alikaa kaburini milele?
Je, siyo YESU aliyesema kifo ni usingizi tu na siku atakapokuja tena, atawafufua wafu?
Sasa kama wafu watafufuliwa, iweje basi tuambiwe na hao wanaojiita viongozi wa dini kuwa kaburi ni nyumba ya milele??
Nini maana ya neno milele? Milele maaana yake, "isiyokuwa na mwisho".
Kwa maandiko yetu sisi Wakristo (Biblia), makaburi yana mwisho, maana yake wafu watafufuliwa na kutoka makaburini, na hao wafu wataishi tena, yaani hawatakufa tena bali wataishi milele katika Ufalme wa MUNGU, na siyo kaburini.
Sasa kama ni hivyo kwanini tunasema kaburi ni nyumba ya milele wakati siyo kweli.
Kwa mujibu wa Maandiko Matakatifu, kaburi ni nyumba ya muda mfupi tu. Na hilo tulioneshwa wakati wa kifo cha YESU, alikaa kaburini kwa muda mfupi, siku tatu, na kisha akafufuliwa na kupaa Mbinguni.
Nawaomba ndugu zangu Wakristo, tuache huu "ujinga" wa kusema; "tunampeleka marehemu kwenye nyumba yake ya milele". No! Hapana! Kaburi siyo nyumba yetu ya milele na kamwe kaburi haliwezi kuwa nyumba yetu ya milele.
Tukisema kaburi ni nyumba ya milele, basi ni sawa na tunashiriki kumtangaza YESU kuwa ni "muongo", kwani Yeye alisema, "atatufufua siku atakaporudi tena".
Na YESU KRISTO siyo "muongo", alichokisema ni KWELI kuwa atatufufua na hilo litatimia.
Nina uhakika hata ndugu zetu Waislamu wanatambua kuwa siku ya "kiama", wafu watafufuliwa. Sasa kama ni hivyo, kaburi haliwezi kuwa nyumba ya milele.
Jamani, tubadilike, hasa hasa ninyi mnaojiita viongozi wa dini, acheni upotoshaji! Acheni kuongea ongea vitu kimazoea!
Rafiki,unatisha... Hata kifo cha mpendwa,JPM,ni juhudinazote hizi nijuhudi za serikali y'a awamu y'a tano
Hongera sana kamati ya mazishi ya hayati JPM ikiongozwa na mheshimiwa Majaliwa kwa design nzuri ya kaburi la kuslide kama geti yaani mmefanya professioalism.
Ila mmetunyima haki ya kuona jeneza likishushwa kaburini.
Nakerwa sana na hii kauli iliyozoeleka miongoni mwa jamii yetu, kuwa, eti, "tunaenda kumweka marehemu kwenye nyumba yake ya milele".