GE2025 Aliyekuwa RC Mbeya, Dkt. Juma Homera achukua fomu ya Ubunge Namtumbo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Dkt. Juma Zubeir Homera anatarajia kuchukua Fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Namtumbo Jumamosi June 28.

Dkt. Homera amesema tayari yuko Namtumbo akisubiri zoezi hilo Jumamosi.

"Nitachukua fomu Jumamosi hapa Namtumbo, mengine tutasema wakati ukifika" amesema Dkt. Homera.
1750927711814.png

Chanzo: Kitenge TV​
 
Attachments

  • 504346460_18068435036091903_1953553094603774494_n.jpeg
    504346460_18068435036091903_1953553094603774494_n.jpeg
    108.9 KB · Views: 48
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Dkt. Juma Zubeir Homera anatarajia kuchukua Fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Namtumbo Jumamosi June 28.

Dkt. Homera amesema tayari yuko Namtumbo akisubiri zoezi hilo Jumamosi.

"Nitachukua fomu Jumamosi hapa Namtumbo, mengine tutasema wakati ukifika" amesema Dkt. Homera.
View attachment 3384351
Chanzo: Kitenge TV​
Huyo sindiyo aliagizwa na samia kumshughurikia mdude
 
Kama kweli inavyosemwa kwenye uhusika wa kile kifo cha Mdude, basi na alaanike bwana Homera ateseka duniani hapa yeye kama yeye mpaka kifo chake

Tunamuomba pia Mwenye Mungu awape subira watoto na mke wa Mdude na InshaAllah awafanyie wepesi kwenye upatikanaji wa ridhiki zao na elimu.
 
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Dkt. Juma Zubeir Homera anatarajia kuchukua Fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Namtumbo Jumamosi June 28.

Dkt. Homera amesema tayari yuko Namtumbo akisubiri zoezi hilo Jumamosi.

"Nitachukua fomu Jumamosi hapa Namtumbo, mengine tutasema wakati ukifika" amesema Dkt. Homera.
View attachment 3384351
Chanzo: Kitenge TV​
Hongera ni haki yake kikatiba
 
Tunamtaka Mdude Nyagali. Na haki ya Mungu kwa kushiriki kudhulumu uhai wake hutafika popote hata ugombee urais.

Back
Top Bottom