Aliyekuwa RC wa Simiyu, Dkt Nawanda ashinda kesi ya “kumlawiti Mwanafunzi”, asema anamuachia Mungu

Kikubwa umekua exposed umeshatumikia adhabu ya Umma, i know utasoma hapa, maisha yako hayatakaa yawe kama yalivyokua...na ukiliona tope tena hutakua ulisahau lilivyokufanya 😵‍💫
 
Kwamba anamuachia munyazi mungu??
 
Punguza hasira kaka! We ulimjua huyo nawanda baada ya kumla kisamvu huyo binti......jaribu kufuatilia profile yake
..si hasira, don't like nosense, kwa vile wewe ulimjua wakati huo unadhani na kwa wengine ni hivyo..nawanda aliondolewa uDC na Magufuli, he s no body dini yake ndio imemrudisha hapo matokeo ndio hayo yaliyomfika, bora hata rajabu rutengwe..kimaadili was ok.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…