Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,433
- 8,585
Hii kesi tangu mwanzo ukiisikiza ilikuwa na ubabaifu mwingi ilikuwa ni sawa na hadithi nzuri ya kufikirika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ex RC sijui aliingiaje kwenye trap ya kizembe namna hii! Mchezo wote target yake ni 2025!Mtoto alishaliwa MIXX by YAS na mtu kashinda hiyo kesi aaagh
Cute Wife
..acheni kutengeneza ujinga, kwa potential ipi nawanda aliyo nayo ili ahujumiwe kwa ajili ya 2025?Huyu ex RC sijui aliingiaje kwenye trap ya kizembe namna hii! Mchezo wote target yake ni 2025!
Punguza hasira kaka! We ulimjua huyo nawanda baada ya kumla kisamvu huyo binti......jaribu kufuatilia profile yake..acheni kutengeneza ujinga, kwa potential ipi nawanda aliyo nayo ili ahujumiwe kwa ajili ya 2025?
Dhambi ilianzia chadema pale walipoiba kula na mchungaji msigwa kuwa mwenyekiti wa chamahii ni aibu kubwa! Tunapaswa kukomesha udanganyifu huu kwenye uchaguzi ujao
Kwamba anamuachia munyazi mungu??Wakuu,
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dkt. Yahaya Nawanda ameachiwa huru baada ya kushinda kesi aliyokuwa akituhumiwa ya kumlawiti Mwanafunzi wa Chuo iliyokuwa ikieneshwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi.
Dkt. Nawanda alifikishwa Mahakamani kwa mara ya kwanza Julai 9, 2024 na kusomewa shitaka moja la kulawiti kinyume na kifungu namba 154 (1) (a) cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu sura ya 16.
Akizungumza na Wanahabari baada ya hukumu hiyo, Nawanda amesema "Namuachia Mungu." kisha akaondoka eneo la Mahakamani.
Awali, kabla ya ushahidi wa upande wa mshtakiwa kuanza kutolewa, Julai 16, 2024 mbele ya Hakimu Marley, mashahidi wawili wa Jamhuri ambao ni Mwanafunzi anayedaiwa kulawitiwa pamoja na mama mzazi wa mwanafunzi huyo walifungua ukurasa wa kutoa ushahidi ambapo waliutoa kwa siri (faragha).
Pia, Soma: Hukumu ya aliyekuwa RC Simiyu, anayetuhumiwa kulawiti kutolewa leo Novemba 29
Ndio maana Baltazar kila akila anarekodi ili asije mtu kusema alibakwa au alilawitiwa.Huyu ex RC sijui aliingiaje kwenye trap ya kizembe namna hii! Mchezo wote target yake ni 2025!
Nakuamuru futa comment yako wewe modhii ni aibu kubwa! Tunapaswa kukomesha udanganyifu huu kwenye uchaguzi ujao
..si hasira, don't like nosense, kwa vile wewe ulimjua wakati huo unadhani na kwa wengine ni hivyo..nawanda aliondolewa uDC na Magufuli, he s no body dini yake ndio imemrudisha hapo matokeo ndio hayo yaliyomfika, bora hata rajabu rutengwe..kimaadili was ok.Punguza hasira kaka! We ulimjua huyo nawanda baada ya kumla kisamvu huyo binti......jaribu kufuatilia profile yake
Leta nyingineeImeisha hiyo
Hii kesi imepigwa back to back.Kwa tunaomjua ni bora asimtaje Mungu, angekausha tu. Aache hiyo tabia
😂😂😂Ndio maana Baltazar kila akila anarekodi ili asije mtu kusema alibakwa au alilawitiwa.
Engong...Baltazar ni giniaz🤣🤣🤣