Aliyekuwa RC wa Simiyu, Dkt Nawanda ashinda kesi ya “kumlawiti Mwanafunzi”, asema anamuachia Mungu

Aliyekuwa RC wa Simiyu, Dkt Nawanda ashinda kesi ya “kumlawiti Mwanafunzi”, asema anamuachia Mungu

Kwahio mwanafunzi alikuwa anataka kumchafua mheshimiwa duh
Huo ndo ukweli nao waheshimiwa shida wanataka kula malaya kiheshimiwa ndo shida inaanzia hapo, malaya anaona hii ni fulsa ya kutoka kimaisha yeye na familia yake anaundiwa zengwe apigwe mtonyo tu,, sisi wa kitaa tu tukienda kununua hizo papuch hatuendi na simu wala wallet yan ikibidi naenda na track suits tu na hela yake ya kumlipa hapo inakua imeisha ata anisechi akuti kitu mfukoni......... 😎😎😎😎
 
Wakuu,

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dkt. Yahaya Nawanda ameachiwa huru baada ya kushinda kesi aliyokuwa akituhumiwa ya kumlawiti Mwanafunzi wa Chuo iliyokuwa ikieneshwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi.

Dkt. Nawanda alifikishwa Mahakamani kwa mara ya kwanza Julai 9, 2024 na kusomewa shitaka moja la kulawiti kinyume na kifungu namba 154 (1) (a) cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu sura ya 16.

Akizungumza na Wanahabari baada ya hukumu hiyo, Nawanda amesema "Namuachia Mungu." kisha akaondoka eneo la Mahakamani.

Awali, kabla ya ushahidi wa upande wa mshtakiwa kuanza kutolewa, Julai 16, 2024 mbele ya Hakimu Marley, mashahidi wawili wa Jamhuri ambao ni Mwanafunzi anayedaiwa kulawitiwa pamoja na mama mzazi wa mwanafunzi huyo walifungua ukurasa wa kutoa ushahidi ambapo waliutoa kwa siri (faragha).

Pia, Soma: Hukumu ya aliyekuwa RC Simiyu, anayetuhumiwa kulawiti kutolewa leo Novemba 29
Tulilumbana sana humu mimi na wachache tulikuwa upande wa Nawanda kuwa atashinda na Imekuwa hivyo.

Malaya afanye umalaya kwa hiyari yake halafu atafute kumgeuzia kibao .mtu.
 
Kazi ya usalama wa taifa sio ya mzaha.

Uwezi kuwa na watu wasio na maadili at senior post.

Mkuu wa mkoa hawezi kuwa na mahusiano na mwanafunzi wa chuo, na kufanya nae mapenzi kwenye gari (hiyo tu kwa nchi zinazojitambua, usalama wao wanakutafutia sababu ya kukufanya mfano wao wenyewe hata kama ujabaka ili wengine wasijaribu).

Mbaya zaidi umeonekana kwa CCTV camera binti mdogo anaingia kwenye gari yako, wameenda mpima marinda yamefumuliwa.

Very sad story kwa namna nyingi kwanza kabisa ni kumnyima haki binti aliebakwa, mbili ni wananchi kukosa imani na serikali yao kupata haki na kubwa zaidi kwa taifa kulea maafisa wa usalama wa hovyo.

Halafu tukitoka hapo tunaanza hadithi zetu Singapore na Malaysia tulikuwa nao sawa tulipopata uhuru sasa wametupita. Unadhani hizo nchi zina civil servants zenye watu wapuuzi kama watanzania.

Au unataka kujifananisha na nchi kama EU, US, China, Russia unadhani hao civil servants wao wanaweza fanya upuuzi kama huo tena senior kama mkuu wa mkoa na wakamuacha. Upuuzi kama kama huo wao wenyewe (kupitia disciplinary procedure za ndani wanakutia) achilia mbali mahakama.

Nchi ni maskini kwa sababu civil services imejaza watu wasio na uwezo and that deficit permeates every corner of the government shortfall.

Appalling to say the least
 
Wakuu,

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dkt. Yahaya Nawanda ameachiwa huru baada ya kushinda kesi aliyokuwa akituhumiwa ya kumlawiti Mwanafunzi wa Chuo iliyokuwa ikieneshwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi.

Dkt. Nawanda alifikishwa Mahakamani kwa mara ya kwanza Julai 9, 2024 na kusomewa shitaka moja la kulawiti kinyume na kifungu namba 154 (1) (a) cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu sura ya 16.

Akizungumza na Wanahabari baada ya hukumu hiyo, Nawanda amesema "Namuachia Mungu." kisha akaondoka eneo la Mahakamani.

Awali, kabla ya ushahidi wa upande wa mshtakiwa kuanza kutolewa, Julai 16, 2024 mbele ya Hakimu Marley, mashahidi wawili wa Jamhuri ambao ni Mwanafunzi anayedaiwa kulawitiwa pamoja na mama mzazi wa mwanafunzi huyo walifungua ukurasa wa kutoa ushahidi ambapo waliutoa kwa siri (faragha).

Pia, Soma: Hukumu ya aliyekuwa RC Simiyu, anayetuhumiwa kulawiti kutolewa leo Novemba 29

Vita vya kunguru furaha ya panzi. Hii ilikuwa ni moja ya mambo magumu sana kueleweka. Ila mwana alikondaje? Mmakonde huyu sasa hivi atazingatia mafunzo ya jandoni. Unalalaje kwenye gari na wewe ati ni ntu nkubwa??
 
Back
Top Bottom