Aliyekuwa RC wa Simiyu, Dkt Nawanda ashinda kesi ya “kumlawiti Mwanafunzi”, asema anamuachia Mungu

Aliyekuwa RC wa Simiyu, Dkt Nawanda ashinda kesi ya “kumlawiti Mwanafunzi”, asema anamuachia Mungu

ukitaka kujua kama kesi hii ameachiwa kwa haki au ulikuwa mpango wa kumsaidia, angalia kama DPP atakata rufaa. nimekaa paleee.
 
Nikisoma michango ya watu hapa inanipa wasi wasi kuhusu kizazi chetu cha karne hii;
Hivi kwa nini mahakama ISIPOTOA MAJIBU mnayopenda kuyasikia mnasema haki haijatendeka?
Hiyo ni hatari sana kama hao ndio vijana wanaotegemewa ....

Nilitegemea kijana aliye elimika ajitahidi kuwa neutral hasa kwa suala ambalo yeye mwenyewe hajalishuhudia.
Tunasafari ndefu sana sana sana ya kufikia nchi za wenzetu.....
 
Huyo dem alitumwa waliomtuma walitaka jamaa apishe cheo tu , mwingine wamemuachia mtoto apambane nayo
 
Wewe ilitegemea kada wa CCM afungwe!itakuwa ni ajabu kwa kijani kufungwa hao wanajuana kwa vilemba.Ingekuwa wewe ungeona cha mtema kuni.
Tusikoment Kwa kuangalia upepo wa Sasa , huyu jamaa alikuwa anawazingua ccmu wenzie , hao ndo wakimtupia Hilo zengwe ili atolew cheo , ilikuwa haez kufungwa sababu lengo lao ni kumpora cheo tu , maana alikuwa anawazingua kweny ujenzi wao wa hovyo
 
Kikubwa umekua exposed umeshatumikia adhabu ya Umma, i know utasoma hapa, maisha yako hayatakaa yawe kama yalivyokua...na ukiliona tope tena hutakua ulisahau lilivyokufanya
Hatari sana 😢 watu wakae mbali na minduku kabla halijawafika jambo
 
Kazi ya usalama wa taifa sio ya mzaha.

Uwezi kuwa na watu wasio na maadili at senior post.

Mkuu wa mkoa hawezi kuwa na mahusiano na mwanafunzi wa chuo, na kufanya nae mapenzi kwenye gari (hiyo tu kwa nchi zinazojitambua, usalama wao wanakutafutia sababu ya kukufanya mfano wao wenyewe hata kama ujabaka ili wengine wasijaribu).

Mbaya zaidi umeonekana kwa CCTV camera binti mdogo anaingia kwenye gari yako, wameenda mpima marinda yamefumuliwa.

Very sad story kwa namna nyingi kwanza kabisa ni kumnyima haki binti aliebakwa, mbili ni wananchi kukosa imani na serikali yao kupata haki na kubwa zaidi kwa taifa kulea maafisa wa usalama wa hovyo.

Halafu tukitoka hapo tunaanza hadithi zetu Singapore na Malaysia tulikuwa nao sawa tulipopata uhuru sasa wametupita. Unadhani hizo nchi zina civil servants zenye watu wapuuzi kama watanzania.

Au unataka kujifananisha na nchi kama EU, US, China, Russia unadhani hao civil servants wao wanaweza fanya upuuzi kama huo tena senior kama mkuu wa mkoa na wakamuacha. Upuuzi kama kama huo wao wenyewe (kupitia disciplinary procedure za ndani wanakutia) achilia mbali mahakama.

Nchi ni maskini kwa sababu civil services imejaza watu wasio na uwezo and that deficit permeates every corner of the government shortfall.

Appalling to say the least
Hv Kuna mwanafunz anqbikra yoyote Kwa Sasa ? Yaan bikra ya mbele na nyuma yupo mwanafunz anayo ? Juz mdada nlimpa namba akampe mzazi wake , Cha ajab kaanza ntafuta na ananiita handsome boy yaan mtoto wa form 4 nmempa block nzito Kisha ndo akampa namba mzazi wake amenipigia tumeongea vzr , watoto wameharibika siku hz
 
Na aliyekuambia Sheria zetu zinaruhusu kufirana? Muwe mmekubaliana au hajakubaliana mkishkwa ni kunyeshewa mvua maisha
Kama ni hivyo basi wote wanahatia. Aliyefira na aliyekubali kufirwa. Ni kama kwenye suala la rushwa: mtoa rushwa na mpokeaji rushwa wote wana hatia.
 
WALE.MAPOYOYO WALIOKUWA WAKIPINGA HII N MICHEZO MICHAFU YA KIJINGA MKO WAPI LEO HII
 KIMYAA
 
Ukiwaona Ditopile wa mzuzuri alimfumua dereva ubongo njia panda ya kawe Lugalo na akashinda kesi sembuse RC aliyekula mbususu?
Dkt Nawanda hakufanya hicho kitu hizo ni siasa za wale walio ji Yuda ili apate uteuzi na hatimaye ya kaizari inaonekana hakumalizia wakaamua waruke naye hahaha 😂 zis is bongo buana vyeo 🤑
 
Hahaha wadanganyika viumbe wa ajabu sana, kama siku zote mnafahamu Mahakama hazitendi haki, ni za CCM, kwanini mnasikitikia hukumu iliyotolewa?

Nilisema Tangu mwanzo huyu jamaa wanamsingizia kwa sababu zao binafsi, haiwezekani awe kabakwa ndani ya gari tena kwa muda mfupi tu uliokuwepo, cctv time line iliyoonyeshwa humu JF nilikataa siku hiyo hiyo.

Hahahaa CCM wanaendelea kushinda. Sema tu ni kwasababu ajira zao ni za kuteuliwa, hapo angerudishwa kazini na malipo juu.
 
Hahaha wadanganyika viumbe wa ajabu sana, kama siku zote mnafahamu Mahakama hazitendi haki, ni za CCM, kwanini mnasikitikia hukumu iliyotolewa?

Nilisema Tangu mwanzo huyu jamaa wanamsingizia kwa sababu zao binafsi, haiwezekani awe kabakwa ndani ya gari tena kwa muda mfupi tu uliokuwepo, cctv time line iliyoonyeshwa humu JF nilikataa siku hiyo hiyo.

Hahahaa CCM wanaendelea kushinda. Sema tu ni kwasababu ajira zao ni za kuteuliwa, hapo angerudishwa kazini na malipo juu.
Huyo hana njaa. Mosi ni mtumishi wa umma mwajiriwa wa chuo kikuu SUA. Ndo akaingia kwa siasa.Kiufupi anaendelea kula salary kama kawa.
 
Back
Top Bottom