Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
ukitaka kujua kama kesi hii ameachiwa kwa haki au ulikuwa mpango wa kumsaidia, angalia kama DPP atakata rufaa. nimekaa paleee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na usikute wana miadi ya kuonana leo usiku wafirane tena baada ya mhe kushinda kesi.Hapo hakukua na kesi wala.aliyefirwa ni mtu mzima walikua na makubaliano yao
Kweli kabisa mzee wa dubur aache matendo ya kaumu lut,ataangamizwaKwa tunaomjua ni bora asimtaje Mungu, angekausha tu. Aache hiyo tabia
Tusikoment Kwa kuangalia upepo wa Sasa , huyu jamaa alikuwa anawazingua ccmu wenzie , hao ndo wakimtupia Hilo zengwe ili atolew cheo , ilikuwa haez kufungwa sababu lengo lao ni kumpora cheo tu , maana alikuwa anawazingua kweny ujenzi wao wa hovyoWewe ilitegemea kada wa CCM afungwe!itakuwa ni ajabu kwa kijani kufungwa hao wanajuana kwa vilemba.Ingekuwa wewe ungeona cha mtema kuni.
Hatari sana 😢 watu wakae mbali na minduku kabla halijawafika jamboKikubwa umekua exposed umeshatumikia adhabu ya Umma, i know utasoma hapa, maisha yako hayatakaa yawe kama yalivyokua...na ukiliona tope tena hutakua ulisahau lilivyokufanya
Hv Kuna mwanafunz anqbikra yoyote Kwa Sasa ? Yaan bikra ya mbele na nyuma yupo mwanafunz anayo ? Juz mdada nlimpa namba akampe mzazi wake , Cha ajab kaanza ntafuta na ananiita handsome boy yaan mtoto wa form 4 nmempa block nzito Kisha ndo akampa namba mzazi wake amenipigia tumeongea vzr , watoto wameharibika siku hzKazi ya usalama wa taifa sio ya mzaha.
Uwezi kuwa na watu wasio na maadili at senior post.
Mkuu wa mkoa hawezi kuwa na mahusiano na mwanafunzi wa chuo, na kufanya nae mapenzi kwenye gari (hiyo tu kwa nchi zinazojitambua, usalama wao wanakutafutia sababu ya kukufanya mfano wao wenyewe hata kama ujabaka ili wengine wasijaribu).
Mbaya zaidi umeonekana kwa CCTV camera binti mdogo anaingia kwenye gari yako, wameenda mpima marinda yamefumuliwa.
Very sad story kwa namna nyingi kwanza kabisa ni kumnyima haki binti aliebakwa, mbili ni wananchi kukosa imani na serikali yao kupata haki na kubwa zaidi kwa taifa kulea maafisa wa usalama wa hovyo.
Halafu tukitoka hapo tunaanza hadithi zetu Singapore na Malaysia tulikuwa nao sawa tulipopata uhuru sasa wametupita. Unadhani hizo nchi zina civil servants zenye watu wapuuzi kama watanzania.
Au unataka kujifananisha na nchi kama EU, US, China, Russia unadhani hao civil servants wao wanaweza fanya upuuzi kama huo tena senior kama mkuu wa mkoa na wakamuacha. Upuuzi kama kama huo wao wenyewe (kupitia disciplinary procedure za ndani wanakutia) achilia mbali mahakama.
Nchi ni maskini kwa sababu civil services imejaza watu wasio na uwezo and that deficit permeates every corner of the government shortfall.
Appalling to say the least
Kama ni hivyo basi wote wanahatia. Aliyefira na aliyekubali kufirwa. Ni kama kwenye suala la rushwa: mtoa rushwa na mpokeaji rushwa wote wana hatia.Na aliyekuambia Sheria zetu zinaruhusu kufirana? Muwe mmekubaliana au hajakubaliana mkishkwa ni kunyeshewa mvua maisha
Dkt Nawanda hakufanya hicho kitu hizo ni siasa za wale walio ji Yuda ili apate uteuzi na hatimaye ya kaizari inaonekana hakumalizia wakaamua waruke naye hahaha 😂 zis is bongo buana vyeo 🤑Ukiwaona Ditopile wa mzuzuri alimfumua dereva ubongo njia panda ya kawe Lugalo na akashinda kesi sembuse RC aliyekula mbususu?
Hamnazo wewe....?!Kwa hiyo ukiwa Kiongozi(wa CCM ) .Maadili ni kuvunja mahusiano na jinsia ya Kike??We huna akili
Jamuhuri imshitaki Mwanafunzi sasa kwa kosa la kutoa taarifa za uwongo kwa Muheshimiwa Nawanda ili kumchafua kisiasa!!Alhamisi alisingiziwa ili kumchafua kisiasa. Hongera sana Alhaj.
Dito nae wapemba nao wakamfanyia yao. Hatari sana.
Huyo hana njaa. Mosi ni mtumishi wa umma mwajiriwa wa chuo kikuu SUA. Ndo akaingia kwa siasa.Kiufupi anaendelea kula salary kama kawa.Hahaha wadanganyika viumbe wa ajabu sana, kama siku zote mnafahamu Mahakama hazitendi haki, ni za CCM, kwanini mnasikitikia hukumu iliyotolewa?
Nilisema Tangu mwanzo huyu jamaa wanamsingizia kwa sababu zao binafsi, haiwezekani awe kabakwa ndani ya gari tena kwa muda mfupi tu uliokuwepo, cctv time line iliyoonyeshwa humu JF nilikataa siku hiyo hiyo.
Hahahaa CCM wanaendelea kushinda. Sema tu ni kwasababu ajira zao ni za kuteuliwa, hapo angerudishwa kazini na malipo juu.