Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Huyu si umesema anazikwa Muscat?Pole ubalozi wa Oman kwani mkuu ulisikia huyo ni Mu Oman?
Alo,kama Seyyid Said hakutoka Oman,alitoka wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu si umesema anazikwa Muscat?Pole ubalozi wa Oman kwani mkuu ulisikia huyo ni Mu Oman?
What do you mean saa ngapi?Watafungua buku watu wataenda pale for a few days. Sijui kama kesho Sikukuu watafungua.Saa ngapi?
Kuuliza si ujinga, nahitaji kujifunza...watanganyika ni viherehere sana kwenye mambo ya zanzibar, cha kushangaza sijawahi kuona wazanzibari wakiwa na viherehere kwenyemambo ya Tanganyika
Kuuliza si ujinga, nahitaji kujifunza...
Ni kwanini wazanzibari wanatamani kutawaliwa na sultan?
Sultan alikuwa mzuri kiasi gani kwa wazanzibari hadi waone hakustahili kuondoshwa?
Huyu si umesema anazikwa Muscat?
Alo,kama Seyyid Said hakutoka Oman,alitoka wapi?
Tunauliza atazikwa wapi? Kwa maana yule ni mzanzibar, mzaliwa wa zanzibar na zanziba ni home land yake japo huko oman alikimbilia ukimbizini alikotoka babu wa babu zake sultan seyyid said aliyekuja kuishi zanzibar na kuwa sultan wa kwanza wa zanzibar
atakuwa kapewa sumuMbona gafla hivyo?
Usultani ni wa kurithi kiukoo, watangulizi wake walihusikaAlitawala miezi mitatu tu kabla ya kupinduliwa, biashara gani alifanya?
leo ndio maadhimisho ya kwanza ya Mapinduzi ya Zanzibar bila Sultan of Zanzibar duniani!。Wanabodi
Vyanzo vya kuaminika vimethibitisha kwa "Atheer" taarifa za kifo cha Mheshimiwa Sayyid Jamshid Al Said, Sultan wa mwisho wa Oman aliyekuwa Zanzibar, akiwa na umri wa miaka 95, baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Vyanzo hivyo vimeeleza kuwa Sultan huyo wa zamani alifariki dunia Jumatatu jioni katika Hospitali ya Kifalme na atazikwa katika Makaburi ya Familia ya Kifalme huko Muscat.
====================
Breaking News!, Talk of a devil, and a devil appear!.
December 30, 2024
Information for “Atheer”: The Passing of His Highness Jamshid
Exclusive sources have confirmed to “Atheer” the passing of His Highness Sayyid Jamshid Al Said, the last Omani Sultan in Zanzibar, at the age of 95, following a long struggle with illness.
The sources stated that the late Sultan passed away on Monday evening at the Royal Hospital and will be laid to rest in the Royal Family Cemetery in Muscat.
December 28 lilipanda bandiko hili Zanzibar Kumpokea Sultan Jamshid: Ziara ya Kihistoria Baada ya Miaka 60 Uhamishoni
December 29 likapanda bandiko hili Story ya kurejea kwa Sultan wa Zanzibar ni Fake News! JF Tumelishwa Tango Pori!. Asante Kaka Chale kuniwezesha kuupata ukweli
Leo December 30 ndio yametokea haya!.
RIP
Sultan Jamshed
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un إِنَّا لِلَّٰهِ وَإِنَّا إِلَيْهِ رَاجِعُونَ. To God we belong and to Him we return.
Paskali
Hii ni Taazia ya Mkuu Maalim Mohamed Said
Rejea za Mwandishi kumhusu Sultan huyu
- Kumbe Sultan Jamshid Alifurahia Kuuawa kwa Karume!. Alitaraji Kurejea Kama Sultani, Kumbe...
- Voices From Within: Sultan Jamshid bin Abdullah Al Said atafurahi zaidi kama atarudi Zanzibar. Rais Samia, Rais Mwinyi, sameheni, utabarikiwa sana!
- Dear Mama, Can you Offer An Unconditional Amnesty to All Zanzibaris Waliokimbia After Revolution, Incl Sultan, Be Free to Return & Start Afresh?
- Je, wajua Sultan aliyefurushwa na mapinduzi matukufu alikuwa ni puppet wa wakoloni?