Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola adaiwa kuwa chini ya ulinzi

Mbona Katibu Mkuu wake katunukiwa ubalozi?
Huwezi kujua - kuna wakati anayefanya kazi chini, naweza kudhani yupo chini yako, kumbe ni mkuu wako wa kazi.
 
Wewe naye ni mlokole?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi.muumini wa haki za binadamu na Uhuru wa kuabudu chochote kuwa mtu Yuko huru kuabudu chochote hata mavi au mikojo yake kwa mujibu wa katiba ya nchi.Lugora alikuwa akionea mno walokole mjinga mkubwa.Alikuwa anatukana walokole ohhh hiki munachoamini sio yeye Mungu? Maruhuni mkubwa yeye Nani wa kumpangia mtu aamini Nini?
 
Good comment. Hata wanaume huaga wake zao kwamba wanaenda safari kumbe wako jirani wanauza mechi. Yawezekana hawa jamaa walitumia mbinu hii.
 
Naombeni kujua zilipo ofisi za takukuru nataka akifika tu getini nimwombe ilani yetu, asijeinajisi bure
 
Bado Magufuli naye siku yake ipo

Sent using Jamii Forums mobile app
Magufuli hajawahi nyanyasa watu kwa imani zao za kidini wakiwemo walokole.Ni lini ulimsikia akionea walokole au Waislamu au mtu yeyote kwa imani yake ya kidini Kama alivyofanya Lugora waziri wa mambo ya ndani,au Sophia Mjema mkuu wa wilaya ya Ilala au mkurugenzi wa babati mjini?
 
Kwa akili yako unaamini waziri anaweza saini mkataba bila rais kujua?
 
Mtu aliywmewahi kuwa na mashitaka ya rushwa hakupaswa kuwa waziri in the first place.
Mteuaji hayupo makini au ana sababu zake binafsi za kufanya hivyo.
Nilishangaa sana Kangi kuteuliwa kuwa waziri. Hafai!
Lugola anajua kucheza political games.Alikuwa akimsifia sana raisi bungeni hivyo raisi alihadaiwa na ujanja wa Lugola .Msiba nae anacheza political game, kuna siku atateuliwa.
 
Iyo ni kampeni ya CCM, mnaangaika na kampeni
Ni moja ya kujisafisha, mmoja anavishwa tairi la Moto ili kuleta attention kwa wananchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa akili yako unaamini waziri anaweza saini mkataba bila rais kujua?
Issue sio kusaini ni kufuata procedures. Kama hazijui angeuliza wataalamu wa fedha na utawala wamwambie .Magereza kitengo Cha fedha na utawala wKo vizurl mno ninaongea kwa uhakika Nilishawahi pewa assignment ya nikiwa private company ku check weakness and strength ya ile idara na kutoa recommendations .In short wako vizuri ila waziri atakuwa hakuwajali akijiona yeye waziri sanaaaaa!!!!!!!uwiii mbavu zangu mimi
 
Hujajibu swali..

Soma uelewe!

Kwa akili yako unaamini waziri anaweza saini mkataba bila rais kujua?
 
Hivi Mzee wa "hata nyasi tutakula" Bazir Pesambili Mramba alikuwa ni mkuu wa mkoa gani vile?
 
Labda kwenye sehemu ya per diem walijaza sifuri...kwamba watatumia mishahara yao.Tatizo liko wapi!
 
Hujajibu swali..

Soma uelewe!

Kwa akili yako unaamini waziri anaweza saini mkataba bila rais kujua?
Walifanya Siri bunge bajeti wakipitisha haina hayana maelezo ya kiundani kuwa ohh manunuzi ya vifaa vya zimamoto!!!! Wait walivyo wajinga wakajiua bajeti imepita waweza endelea na mchakato wao ndani kwa ndani kimya kimya wakasahau kuwa Kuna Sheria ya manunuzi!!!!!! Inatakiwa ifuatwe !!!! Wslidanganyana!!!!

Vifaa vya kuzima Moto Ni Siri nyeti? Ningekuwa vifaa vya usalama wa Taifa sawa Lugora mjinga kifaa Cha kuzima moto.ni Siri? Iwe gari ,drone,au chochote? Lugora mwizi
 
Hivi MoU ni "mkataba" kwa maana ya kisheria? Upande mmoja wa MoU unaweza kufungua kesi ya madai dhidi ya mwingine kwa kutotekeleza yaliyomo kwenye MoU?

Wajuvi wa sheria za mikataba naomba kufundishwa katika hili.
 
😂😂😂😂tunaletewa COMEDY show..aah eeh iiih ooh uuh...everebadi seyi uno...hakuna chochote kitakachomtokea Kangi...sarakasi tyuuu za 2020...
Na miuno kwenye kampeni atatukatikia...


Everyday is Saturday............😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…