Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola adaiwa kuwa chini ya ulinzi

Unatafuta habari?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wkt Magu ile Juzi pale ikulu alisema Naibu katibu mkuu alijua kinachoendelea na hakuchukua hatua yoyote na baadae akampiga na Madongo kidogo Masauni(N/Waziri)

Sasa inakuaje wewe unakuja tena kusema naibu katibu mkuu alichomesha huo mchongo?

dodge
Yule ni Katibu mkuu ndie alimsifu sio naibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu aliywmewahi kuwa na mashitaka ya rushwa hakupaswa kuwa waziri in the first place.
Mteuaji hayupo makini au ana sababu zake binafsi za kufanya hivyo.
Nilishangaa sana Kangi kuteuliwa kuwa waziri. Hafai!
Jiwe ni mkurupukaji mkubwa na anafanya makosa makubwa sana nchi hii bahati yake ni kwamba anaongoza wasiofikiri sana na wanafiki wakubwa.
 
Ila huyu mzee matukio ya rushwa rushwa hayampitii mbali kabisa...kipindi kile mwanzo mwanzo mwa 2015 yeye na sadiq murad pia walikumbwa na skendo ya rushwa lakini hakutaka kujifunza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni Mfano mzuri sana kwa walio nyuma, Malipo ni hapa hapa Duniani.
 
The Sheriff,
Muosha huoshwa Kangi Lugola alitamba sana alijiona kafika Mbinguni kumbe bado yupo Bongo.Yule human being alikuwa na mazarau balaa tambo nyingi,lol ila masiha ni nooma na kutembea kote kule na kijitabu cah Ilani ya CCM na kuongeza mifuko ya maashati yake kwa Bendea za Bongo lakini mwisho kio cha mende.Kenge yule sijui atatembea na kala kajitabu tena?
 
Ni shida kufanya kazi katika mazingira haya, you got a post, you accept it then unadhalilika muda mfupi, nadhan ni bora mtu kukataa na mapema kufanya kazi kwa mazingira kama haya ni vigumu sana.

Kila ukitaka kufanya jambo unajihisi huna power yeyote lazima upate full go ahead kutoka kwa mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…