Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola adaiwa kuwa chini ya ulinzi

huyu na Mwambalaswa na yule Mbunge wa Morogoro Mvomelo,walikutwa na shutuma za rushwa,kesi ikaisha kiajabu ajabu ili kutokukichafua chama,huyohuyo Lugola tena unampa wizara unategemea nini??

actually that's a standard policy of the party: "mbunge wa CCM asibughudhiwe, amefanya mazuri, amefanya mabaya..."

Lugola huwezi kumgusa, ni kada wa kitaifa wa chama.

Wangekuwa serious wanataka kumsulubisha wangetuma polisi wamteke siku tatu, ya nne wangesema hajafa tunae, ya tano angepandishwa Kisutu kwa utakatishaji fedha na kuongoza genge la kimataifa la uhalifu. Dhamana imefungwa.

Ni kada gani wa chama amewahi kutiwa gerezani?
 

Lugola alinishangaza sana kulumbana na CAG na Kigogo2014
 

Attachments

  • VID-20200123-WA0183.mp4
    2.2 MB
Aliyemdondosha Lugola kimsingi ni Sai'moon! Kumbuka mafahali wawili, hawakai zizi moja.
Kwa muundo wa Sasa, Sai'moon ana madaraka makubwa kuliko waziri ingawa waziri ana cheo kikubwa kuliko Sai'moon!
 
We kichwa maji si ulikua unashabikia wew leo unamkana¿Kweli shetani hana rafiki
 

IGP kureport kwa Rais ni muhimu maana yeye ndie kiongozi mkuu pale polisi na kazi ya waziri ni kusimamia mambo ya sera tu utendaji wa kila siku wa polisi IGP anaufahamu vizuri kuliko waziri ambae kazi yake ni kusimamia sera tu na sio utendaji kimsingi


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Siku zote nasemaga
Maisha hayana formula
Jela mtu yoyote anaweza kutinga
Ngoja tuone Labda anaweza kufanya uninja

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We nawe
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo ya usalama ya kumfikishia Rais angeyatoa wapi wakati aliwekeza katika migogoro na Makamanda.
Kwa kuwa Makamanda wana access ya moja kwa moja kwa Mkulu naamini hawakuwa wanampa ushirikiano Bali walitoa wenyewe taarifa moja kwa moja kwa mkulu hivyo yeye akabaki na mikwara yake isiyo na madhara.
 
Huyu hawezi kufanywa lolote, atakosa Jimbo tu. Kwenye mikataba ya kibiashara hamna mahali ambapo Waziri anasaini. Anayeingia mkataba ni Afisa Masururi wa Wizara au Taasisi/Shirika.
 
Kumbe hua mnajijua ndani hilo tambara bovu ?!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliambiwa aachane na msiba hakusikia, ona sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…