Kikombe1
Senior Member
- Feb 4, 2013
- 132
- 98
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna atakayekujibu kwa kuwa hoja imepotoshwa kwa makusudi.Hivi MoU ni "mkataba" kwa maana ya kisheria? Upande mmoja wa MoU unaweza kufungua kesi ya mada dhidi ya mwingine kwa kutotekeleza yaliyomo kwenye MoU?
Wajuvi wa sheria za mikataba naomba kufundishwa katika hili.
umekurupuka kunijibu ingawa hujaleta jibu kamili,haujaelewa misingi ya swali langu, wajuzi wamenielewa wewe kaa kimya
Lkn katibu mkuu (Major Gen.) Yeye kapewa ubalozi tayari.
JW wanaheshimika sana aiseee.
dodge
Maumivu huanza taratibu Mkuu. Dalili ya Mvua ni mawingu huanza kujikusanya taratibu eti.Hajakamatwa bado,ila amezuiwa kusafiri bila kibali!🤔
Magufuli hajawahi nyanyasa watu kwa imani zao za kidini wakiwemo walokole.Ni lini ulimsikia akionea walokole au Waislamu au mtu yeyote kwa imani yake ya kidini Kama alivyofanya Lugora waziri wa mambo ya ndani,au Sophia Mjema mkuu wa wilaya ya Ilala au mkurugenzi wa babati mjini?
Kuna mambo mengi sana yanachanganya kwenye hii nchi
Labda kwenye sehemu ya per diem walijaza sifuri...kwamba watatumia mishahara yao.Tatizo liko wapi!
Hakuna kitu kama hicho,sinema tu hizo,hivi mtu aliepokea rushwa ili kusaini mkataba utakaoitia hasara nchi yake anawezaje kuingia bungeni na kuendelea na shughuli zake kama kawaida?Maumivu huanza taratibu Mkuu. Dalili ya Mvua ni mawingu huanza kujikusanya taratibu eti.
Hujasikia kwamba yeye hakuhusika? Na aliyehusika ni naibu katibu mkuu? Ndo maana alichukuwa hatua ya kujiudhuru, pengine kwa uzembe au alikuwa spy
Ninachojua wote walitakiwa kuwa chini ya ulinzi halafu vyombo vya usalama vifanye uchunguzi wao halafu wapelekwe mahakamani,sio ilivyo sasa mtu mmoja anaamua huyu mkamate huyu muache.Hujasikia kwamba yeye hakuhusika? Na aliyehusika ni naibu katibu mkuu? Ndo maana alichukuwa hatua ya kujiudhuru, pengine kwa uzembe au alikuwa spy
Hata boss wa Lugola naye siku moja yatamkuta na yeye tusubiri.
Kifupi kunyanyasa waumini imekula kwake awe katumwa na yeyote au la huko kwingine Sijui kila mtu apambane na hali yake ila kwenye dini limemtokea puani maruhuni lugolaAnaonea wengine kisiasa, ni kama waligawana majukumu, Ligola anyanyase waumini, yeye anyanyase wapinzani. Kwa maneno matmeahisi wananyanyasa watanzania kwa makundi.
Sasa na yy anaanza kuisoma nambaHuwa wanajisahau vile wabongo ni watu wa kusahau haraka...
Ila hawa watu wangekuwa wana kesi sana mahakamani pindi hatamu zao zinapoisha