Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola adaiwa kuwa chini ya ulinzi

Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola adaiwa kuwa chini ya ulinzi

Hivi MoU ni "mkataba" kwa maana ya kisheria? Upande mmoja wa MoU unaweza kufungua kesi ya mada dhidi ya mwingine kwa kutotekeleza yaliyomo kwenye MoU?

Wajuvi wa sheria za mikataba naomba kufundishwa katika hili.
Hakuna atakayekujibu kwa kuwa hoja imepotoshwa kwa makusudi.
 
Lkn katibu mkuu (Major Gen.) Yeye kapewa ubalozi tayari.

JW wanaheshimika sana aiseee.

dodge

Hujasikia kwamba yeye hakuhusika? Na aliyehusika ni naibu katibu mkuu? Ndo maana alichukuwa hatua ya kujiudhuru, pengine kwa uzembe au alikuwa spy
 
Ni lini atafikishwa gerezani akakutane na yule boss wa magereza? Huwezi kuwa kiongozi unatukana wenzio tena bila kosa. Mkomesheni huyo.
 
Magufuli hajawahi nyanyasa watu kwa imani zao za kidini wakiwemo walokole.Ni lini ulimsikia akionea walokole au Waislamu au mtu yeyote kwa imani yake ya kidini Kama alivyofanya Lugora waziri wa mambo ya ndani,au Sophia Mjema mkuu wa wilaya ya Ilala au mkurugenzi wa babati mjini?

Anaonea wengine kisiasa, ni kama waligawana majukumu, Ligola anyanyase waumini, yeye anyanyase wapinzani. Kwa maneno matmeahisi wananyanyasa watanzania kwa makundi.
 
Ukishazoea kulamba mlungula kamwe huwezi kuacha. Huyu ndugu ndio ilikuwa kazi yake enzi zile yupo kwenye kamati flani ya Bunge. Na aliwahi kufikishwa mahakamani kabisa. So alichofanya/kutaka kufanya sio kigeni kwake.
 
Labda kwenye sehemu ya per diem walijaza sifuri...kwamba watatumia mishahara yao.Tatizo liko wapi!

Hujiulizi tu mtu anayetetemekea per diem ajaze zero kuwa atatumia hela zake hujiulizi kulikoni?
 
Maumivu huanza taratibu Mkuu. Dalili ya Mvua ni mawingu huanza kujikusanya taratibu eti.
Hakuna kitu kama hicho,sinema tu hizo,hivi mtu aliepokea rushwa ili kusaini mkataba utakaoitia hasara nchi yake anawezaje kuingia bungeni na kuendelea na shughuli zake kama kawaida?
Kumbuka kuna watu wanakesi za kuiba kuku wako ndani na upelelezi haujakamilika.
 
Jibu liko hapa boss

'Pengine kwa uzembe au alikuwa spy'.
Hujasikia kwamba yeye hakuhusika? Na aliyehusika ni naibu katibu mkuu? Ndo maana alichukuwa hatua ya kujiudhuru, pengine kwa uzembe au alikuwa spy

dodge
 
Hujasikia kwamba yeye hakuhusika? Na aliyehusika ni naibu katibu mkuu? Ndo maana alichukuwa hatua ya kujiudhuru, pengine kwa uzembe au alikuwa spy
Ninachojua wote walitakiwa kuwa chini ya ulinzi halafu vyombo vya usalama vifanye uchunguzi wao halafu wapelekwe mahakamani,sio ilivyo sasa mtu mmoja anaamua huyu mkamate huyu muache.
 
Anaonea wengine kisiasa, ni kama waligawana majukumu, Ligola anyanyase waumini, yeye anyanyase wapinzani. Kwa maneno matmeahisi wananyanyasa watanzania kwa makundi.
Kifupi kunyanyasa waumini imekula kwake awe katumwa na yeyote au la huko kwingine Sijui kila mtu apambane na hali yake ila kwenye dini limemtokea puani maruhuni lugola
 
Huwa wanajisahau vile wabongo ni watu wa kusahau haraka...

Ila hawa watu wangekuwa wana kesi sana mahakamani pindi hatamu zao zinapoisha
Sasa na yy anaanza kuisoma namba

yess BiShoo haswaaAaa
 
Back
Top Bottom