google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,623
- 13,759
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacha waisome namba weeeee waisome namba sisiemu mbele kwa mbele
Jamani tusiwaingilie, ndugu wakigombana shika jembe ukalime
Sent using Jamii Forums mobile app
Anaonea wengine kisiasa, ni kama waligawana majukumu, Ligola anyanyase waumini, yeye anyanyase wapinzani. Kwa maneno matmeahisi wananyanyasa watanzania kwa makundi.
Wanachunguzwa kwa kosa lipi sasa ikiwa walikaimishwa ofisi kwa barua?Mwanasheria mkuu alikuwa msibani ila vijana wake walihusika wakasaini kwa niaba.....nao wanachunguzwa!
Kangi na Andengenye walitaimu mpaka mke wa Mwanasheria afariki ndio waende Romania;Mkuu kenye hotuba ya Jpm mbona hilo swali liliwekwa wazi?
Kwamba 'walimtaim' mwanasheria mkuu akiwa likizo ya kuuguza ndiyo wakafanya waliyoyafanya.
Hili 'saga' litakula vichwa kuanzia wizarani, ofisi ya mwanasheria mkuu na fire.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi ni tuhuma, na tuhuma za rushwa mbona amezizoea, na alikuwa nayo moja kabla ya uwaziri ikaisha, na hii kama hile tu, labda wageuze kibao waseme tuhuma za ufisadi au uhujumu uchumi ndio shida kwake, sio rushwa!Lugola rushwa inatembea kwenye damu, sasa amepatikana
Sasa kama unafahamu tupe jibu ujuaji mwingi mbele giza ngoja Kangi apekuliwe Kwanza atakuja kukupa majibu ipi mbivu ipi mbichiWewe nafahamu vizuri sana majukumu ya hizo idara, tofauti zao na ushirikiano wao, swali langu nimeuliza ipi ni Bora si kwa kukurupuka kama wewe unayenijia na majibu ya kichwakichwa, misingi ya swali langu nadhani hujui na si lazima kujibu kila swali utaja umbuka bure,
apo umesema kweli kama kawaida yao CCM ni mahodari wa usanii na hii ni mbinu moja wapo ya kuhalalisha kuiba kuraTuache ushabiki hkn chchote kitachomkuta mkata mauno usanii tu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora watoke wote! Labda na sie tutapata nafasi.Mkuu kenye hotuba ya Jpm mbona hilo swali liliwekwa wazi?
Kwamba 'walimtaim' mwanasheria mkuu akiwa likizo ya kuuguza ndiyo wakafanya waliyoyafanya.
Hili 'saga' litakula vichwa kuanzia wizarani, ofisi ya mwanasheria mkuu na fire.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kenye hotuba ya Jpm mbona hilo swali liliwekwa wazi?
Kwamba 'walimtaim' mwanasheria mkuu akiwa likizo ya kuuguza ndiyo wakafanya waliyoyafanya.
Hili 'saga' litakula vichwa kuanzia wizarani, ofisi ya mwanasheria mkuu na fire.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, Idara zote ni bora ktk field zao!hivi Takukuru ni Bora kuliko Usalama wa Taifa?
Nao walisaini bila maelekezo ya bosi wao? Aisee.Mwanasheria mkuu alikuwa msibani ila vijana wake walihusika wakasaini kwa niaba.....nao wanachunguzwa!
Barua ya kukaimishwa uliiona bwashee?!Wanachunguzwa kwa kosa lipi sasa ikiwa walikaimishwa ofisi kwa barua?
Walisaini juu kwa juu......eti kwa niaba!Nao walisaini bila maelekezo ya bosi wao? Aisee.