Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola adaiwa kuwa chini ya ulinzi

Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola adaiwa kuwa chini ya ulinzi

Mkuu kenye hotuba ya Jpm mbona hilo swali liliwekwa wazi?
Kwamba 'walimtaim' mwanasheria mkuu akiwa likizo ya kuuguza ndiyo wakafanya waliyoyafanya.
Hili 'saga' litakula vichwa kuanzia wizarani, ofisi ya mwanasheria mkuu na fire.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kangi na Andengenye walitaimu mpaka mke wa Mwanasheria afariki ndio waende Romania;

Wanasheria wa ofisi ya AG walijuaje kuwa mke wa AG atafariki ili wataimu? Isije ikawa walitengeneza kifo kabisa

Wasaidizi wa AG walikuwa na barua ya kukaimu ofisi au la?

Barua ya AG kukaimisha (kama ipo) haikuwa na maelekezo ya kazi za kufanya kwa anaekaimishwa?

Nakala ya barua ya AG kukaimisha ofisi haikwenda Ikulu?

Kama wasaidizi wa AG walipitisha mikataba bila mamlaka (ultra vires) nini kiliwazuia kufanya hivyo kabla mpaka wasubiri kutaimu?
 
Lugola rushwa inatembea kwenye damu, sasa amepatikana
Hizi ni tuhuma, na tuhuma za rushwa mbona amezizoea, na alikuwa nayo moja kabla ya uwaziri ikaisha, na hii kama hile tu, labda wageuze kibao waseme tuhuma za ufisadi au uhujumu uchumi ndio shida kwake, sio rushwa!
 
Wewe nafahamu vizuri sana majukumu ya hizo idara, tofauti zao na ushirikiano wao, swali langu nimeuliza ipi ni Bora si kwa kukurupuka kama wewe unayenijia na majibu ya kichwakichwa, misingi ya swali langu nadhani hujui na si lazima kujibu kila swali utaja umbuka bure,
Sasa kama unafahamu tupe jibu ujuaji mwingi mbele giza ngoja Kangi apekuliwe Kwanza atakuja kukupa majibu ipi mbivu ipi mbichi
Stay tuned knyamaupanga station
 
CCM had already pocketed tzs. 2bn/- part of upfront payment yield of the said sham contract. Perhaps Bashiru …..?
 
Back
Top Bottom